Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tatizo kuna bug detectors ambazo zinauzwa kuangalia kama kuna bugs home, office pia unaweza kutumia kwenye gari, zinauzwa tu kuna wezi pia wanazo.
Njia nyingine nzuri ni kuweka simu ndogo ambayo inakuwa ipo special kwa ajili ya kuitrack ikitokea kama gps imekuwa disconected.

Hapo yakupasa simu hiyo uiweke na chaji ambayo unafanya maarifa kuiunga na unaiweka kila baaa ya siku kadhaa ili simu isiishiwe chaji na hii unaiwekea mfumo wake pekee sana kiasi si rahisi mtu yoyote kuweza kujua.
 
hii njia ni nzuri zaidi,vp hawez kujua kama kuna simu.
 
Tatizo kuna bug detectors ambazo zinauzwa kuangalia kama kuna bugs home, office pia unaweza kutumia kwenye gari, zinauzwa tu kuna wezi pia wanazo.
Hapo sasa ndo bima watakapo nilipa mzee.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ halafu kina vutwa chuma kingine...
 
Sikuhizi hawalipagi kirahisi rahisi
Ushawahi kua na comprehensive? Mimi nishawahi lipwa miezi 2 tu baada ya kupata ajali na gari ikawa written off.miezi miwili baada ya kufika nchini...comprehensive haina usumbufu ninamtumia broker kwaio broker ili apate mteja ananipambania kweli kweli
 
Bado sana piga pamutation hapo tutasubiri sana
 
Kuna Renault sema yamoto iyo 24km/L inaenda dola Elfu nane na mia kadhaa sijajua durability yake na service maana Toyota is for Africa[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…