Lyamber
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 11,716
- 18,828
Nimeshaandaa mikakati ya GPS bima nakata comprehensive ikiibiwa bima watalipa...๐๐๐๐Ila inabidi uilinde Sana ikiibiwa ndo imeisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeshaandaa mikakati ya GPS bima nakata comprehensive ikiibiwa bima watalipa...๐๐๐๐Ila inabidi uilinde Sana ikiibiwa ndo imeisha
Tatizo kuna bug detectors ambazo zinauzwa kuangalia kama kuna bugs home, office pia unaweza kutumia kwenye gari, zinauzwa tu kuna wezi pia wanazo.Nimeshaandaa mikakati ya GPS bima nakata comprehensive ikiibiwa bima watalipa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njia nyingine nzuri ni kuweka simu ndogo ambayo inakuwa ipo special kwa ajili ya kuitrack ikitokea kama gps imekuwa disconected.Tatizo kuna bug detectors ambazo zinauzwa kuangalia kama kuna bugs home, office pia unaweza kutumia kwenye gari, zinauzwa tu kuna wezi pia wanazo.
hii njia ni nzuri zaidi,vp hawez kujua kama kuna simu.Njia nyingine nzuri ni kuweka simu ndogo ambayo inakuwa ipo special kwa ajili ya kuitrack ikitokea kama gps imekuwa disconected.
Hapo yakupasa simu hiyo uiweke na chaji ambayo unafanya maarifa kuiunga na unaiweka kila baaa ya siku kadhaa ili simu isiishiwe chaji na hii unaiwekea mfumo wake pekee sana kiasi si rahisi mtu yoyote kuweza kujua.
Hapo sasa ndo bima watakapo nilipa mzee.. ๐๐๐ halafu kina vutwa chuma kingine...Tatizo kuna bug detectors ambazo zinauzwa kuangalia kama kuna bugs home, office pia unaweza kutumia kwenye gari, zinauzwa tu kuna wezi pia wanazo.
Sikuhizi hawalipagi kirahisi rahisiHapo sasa ndo bima watakapo nilipa mzee.. [emoji23][emoji23][emoji23] halafu kina vutwa chuma kingine...
Ushawahi kua na comprehensive? Mimi nishawahi lipwa miezi 2 tu baada ya kupata ajali na gari ikawa written off.miezi miwili baada ya kufika nchini...comprehensive haina usumbufu ninamtumia broker kwaio broker ili apate mteja ananipambania kweli kweliSikuhizi hawalipagi kirahisi rahisi
Unakata tu kwa kutumia chasis number. Wanakubali. Nilishawahi kukata.Muulize bima ya kutembelea mwezi na zaidi anakataje bila taarifa za kadi ya gari kama namba ya usajili wa gari?
Naomba contact za hao wanaouza hivi vitu inboxTatizo kuna bug detectors ambazo zinauzwa kuangalia kama kuna bugs home, office pia unaweza kutumia kwenye gari, zinauzwa tu kuna wezi pia wanazo.
Tupe somo kuhusu hizi gradeGari nzuri kuanzia grade 4,
Hutajutia
Hata mm nahitaji hivi vituNaomba contact za hao wanaouza hivi vitu inbox
Mkuu unataka kufanyia nini?Naomba contact za hao wanaouza hivi vitu inbox
Utamu wake na E class havijapishana, toyota mle alituliaMimi ni GRS200...๐๐๐
Naaam wenyewe wanakwambia ni Japanese Benz...๐๐๐utamu wake na E class havijapishana , toyota mle alitulia
Bado sana piga pamutation hapo tutasubiri sanaNamba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...
Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.
View attachment 1888026
Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..
Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...[emoji3]
Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...
Namba E rasmi October, D inakua yazamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
Kuna Renault sema yamoto iyo 24km/L inaenda dola Elfu nane na mia kadhaa sijajua durability yake na service maana Toyota is for Africa[emoji1]Hahahahah wakati huo wa namba E bora ufike ili zile IST za number D tuuziwe million 5/5 chap chap maana ni nyingi sana [emoji28]!
Yani hali ilivyo sasa hata IST namba DC mtu anakomalia auze million 8 na inauzika fasta! Najiuliza ukija mbadala wa IST ghafla sijui wenye nayo sasa hali itakuwaje!
Leo tupo DY....Namba E itachukua muda mrefu kwasabb mpaka Leo bado tupo Kwenye DW....tunasubiri ifike DX,DY,DZ ndipo tuingie huko Kwenye E.
Gari Yangu namba DUN ilitoka October mwaka Jana ebu fikiria mpaka Leo bado tupo Kwenye DW