Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Hata kenya wana huo ushamba.

Mtu akiona namba DV anawehuka hata kama imeshachakazwa mitaani.
 
Ilitakiwa gari ikiwa inatoka bandarini ipewe namba yake kabisa.

Hakuna gari kutoka bandarini kabla haijapewa namba yake.
Haha haitawezekana!
Maana kuna option tatu za kutoa bandarini,
1. Full duty, hawa wenye vifua wanalipa kodi yote kabla gari haijatoka geti namba 2
2.Exemption hawa wanapata msamaha wa kodi
3. Bonded, hawa hawana hela ya kodi kuogopa storage gari inakwenda bond ili wajipange.

Kisheria huwezi kupata namba kama hujamaliza taratibu za kodi ,
 
Hizo si edit, unalipa hela 500,000 unatunziwa Namba ya mbele.
Laki 5 yote yanini wakati vibao hata ukitaka cha namba B unatoa upya kama chako kimechakaa elfu 2O tu kwa rasta anakufyatulia kipya. Sogea maeneo ya TRA ilipo wachonga namba hawakosekani. Hio ya jamaa mchezo aliofanya ndio huo huo, official numbers ziko DZV kwa sasa.

Hio unayosemea wewe ni special number. Kama zile za Jpm 2O2O.
 
Wadau wanataka wasafishe nyota kumiliki namba E, wengi gari ni investment sio kitu cha kubadili badili.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…