RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Shida ni hizi gari zetu 'mpya' za 2005 ndio inabidi iwe namba EMkuu kwani kuna shida gani V8 ya 2022 ikibandikwa AHG?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni hizi gari zetu 'mpya' za 2005 ndio inabidi iwe namba EMkuu kwani kuna shida gani V8 ya 2022 ikibandikwa AHG?
Hahahahah kazi kweli kweliShida ni hizi gari zetu 'mpya' za 2005 ndio inabidi iwe namba E
Bila kusahau matrailer mzee...mbioni naachana na DUP naisubiria EAE kwa hamu sana...😂😂😂😂Wanaokimbiza namba ni wanaonunua magari ya biashara na kazi zao, sio watu wanaonunua gari ndogo za kutembelea.
Namba haziwezi kujikongoja maana kuna watu wa dala dala. Watu wa malori na watu wa ma bus ya mikoani. Hao hawana muda wa kusubiri namba na huwa hawanunui gari moja moja..
Mimi kuna mwanangu mmoja anatembelea chassis tangu May...😂😂😂Nadhani ni mwezi kama sio week 2
Hongera mkuu, mi nahisi hata E itanipitaMnaosubiri namba E ina maana hamna uhakika wa kununua gari ingine baadae?!! E ipo miaka mingine 5-8 sasa kimuhemuhe cha nini? Nimetulia zangu na D mbili na C moja wala sina pressure. Katika series hizi mpya ni B tu ilinipita bila kununua gari nilikomaa na A mpaka C katikati.
Itakaa miaka mingi sana utaipata tu.Hongera mkuu, mi nahisi hata E itanipita
Namba haina mvuto kabisaEAA kama zile namba za zamaniiii
Inategemea na aina ya gari.Bora msala uhamie Kwa wenye Namba E maana WA namba D tulikoma , wezi walikuwa wakiona namba D kama wameona Lulu
Hataki namba DZ jamaaMimi kuna mwanangu mmoja anatembelea chassis tangu May...😂😂😂
Mwenzako anasubiria namba EAA na crownHuu si ubabaishaji kabisa!
View attachment 2306185
Chassis number umeisoma? Sio ya Crown ni kama ya IST au probox sijui. Crown ni grs180...Mwenzako anasubiria namba EAA na crown
Hahahaha apo ndo shida sasaMfano tu pale una shida ya hela ya chap gari imekaza namba DZV yani haina tofauti na EAF of same model and color halafu mtu anakwambia ingekuwa E hata ya mwanzo tungeuza fasta ila hio D labda tukupe million 8 mzee[emoji23][emoji23][emoji23]! Ukicheki usajili wa EAF ni 16M ila zote ubora ni sawa ila yako unalazimika uuze million 8 kisa namba DZV tu.
Acha hizo, hata uwe na hela kiaje shida hutokea, kwani wewe unanunua ili uishi nalo mileleshida ndo hyo unanunua gari kwa pesa ya kubana mambo ya msingi ie.ada, kodi, malipo ya mikopo lazima baada ya muda mfupi uuze..na kama umenunua gari kama crown utaona kila rangi from madalali..haha..
Anaongea kama Waki asiyejua maisha yana juu na chiniAcha hizo, hata uwe na hela kiaje shida hutokea, kwani wewe unanunua ili uishi nalo milele
Wachonga sehemu Gani?Hatujaifikia hio namba bado, ikumbukwe kuchonga kibao ni elfu 2O tu
Naona watu washaanza ku book kabisa namba....sidhani km tumefika kwenye DZZ
Inaweza kuwa ni updated body kit .. Kuna garages wameanza utukutu huo.. LC 100/200 zinavuliwa body inapandishwa 300. Exterior na interior .Kuna L300 ina namba ya njano AHG
→_→Wanaokimbiza namba ni wanaonunua magari ya biashara na kazi zao, sio watu wanaonunua gari ndogo za kutembelea.
Namba haziwezi kujikongoja maana kuna watu wa dala dala. Watu wa malori na watu wa ma bus ya mikoani. Hao hawana muda wa kusubiri namba na huwa hawanunui gari moja moja..