Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Shubaamit
IMG-20220728-WA0013.jpg
 
Hakuna V8 iliyosajiliwa namba A. V8 zimeanza kutoka 2007 nafikiri kulikuwa namba b au c.
LC2OO V8 ni toleo la Cruiser la mwaka 2OO8 na mengi yaliingia kama kilimo kwanza serikalini. Mwaka huo nafikiri usajili ulikuwa ushafika B. Hadi raia wengi wanakuwa na uwezo wa kuyamiliki yalikuwa yashafika namba C maana wabongo wengi uwezo wa kununua gari ni baada ya miaka 4 tangu litoke kiwandani😂
 
Shida ndio hiyo unanunua gari kwa pesa ya kubana mambo ya msingi ie.ada, kodi, malipo ya mikopo lazima baada ya muda mfupi uuze..na kama umenunua gari kama crown utaona kila rangi from madalali..haha..
Kuna jamaa kauza Crown Athlete namba DPZ ya mwaka 2006 iliyomgharimu Milioni 18 mwaka 2019 Leo hii 2022 kauza kwa Milioni 6.8

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Je number E itashusha thamani ya magari namba D? Kwasisi wanunuaji used

Kwa soko la bongo ni kwel inashusha mana bongo wengi hawaangalii ubora wa gari hasa engine wengi wenye gari private wanacheza na namba tu

Watu wa magari ya biashara ndo hawajali kuhusu namba... ila namba E ikianza, hakuna atakayenunua IST ya namba C kwa zaidi ya 6million hapo bado namba D za mwanzon nazo
 
Siyo kwa haraka labda mpaka ifike ED au EJ huko.
 
Back
Top Bottom