Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Wanaokimbiza namba ni wanaonunua magari ya biashara na kazi zao, sio watu wanaonunua gari ndogo za kutembelea.

Namba haziwezi kujikongoja maana kuna watu wa dala dala. Watu wa malori na watu wa ma bus ya mikoani. Hao hawana muda wa kusubiri namba na huwa hawanunui gari moja moja..
Bila kusahau matrailer mzee...mbioni naachana na DUP naisubiria EAE kwa hamu sana...😂😂😂😂
 
Mnaosubiri namba E ina maana hamna uhakika wa kununua gari ingine baadae?!! E ipo miaka mingine 5-8 sasa kimuhemuhe cha nini? Nimetulia zangu na D mbili na C moja wala sina pressure. Katika series hizi mpya ni B tu ilinipita bila kununua gari nilikomaa na A mpaka C katikati.
Hongera mkuu, mi nahisi hata E itanipita
 
Huu si ubabaishaji kabisa!
IMG_20220727_192324_3~2.jpg
 
Mfano tu pale una shida ya hela ya chap gari imekaza namba DZV yani haina tofauti na EAF of same model and color halafu mtu anakwambia ingekuwa E hata ya mwanzo tungeuza fasta ila hio D labda tukupe million 8 mzee[emoji23][emoji23][emoji23]! Ukicheki usajili wa EAF ni 16M ila zote ubora ni sawa ila yako unalazimika uuze million 8 kisa namba DZV tu.
Hahahaha apo ndo shida sasa
Na watu hawaelewi, ukute mnunuaji ndo kapata gari yake ya kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaokimbiza namba ni wanaonunua magari ya biashara na kazi zao, sio watu wanaonunua gari ndogo za kutembelea.

Namba haziwezi kujikongoja maana kuna watu wa dala dala. Watu wa malori na watu wa ma bus ya mikoani. Hao hawana muda wa kusubiri namba na huwa hawanunui gari moja moja..
→_→
 
Back
Top Bottom