Tunaosubiri namba E tukutane hapa

ni kawaida kabisa kukuta gari new model ina namba A na ikawa ya mtu binafsi kwa sababu ukiwa na gari yako hata ikiwa namba A kama imesha chakaa au umeuza kama chuma chakavu inatakiwa urudi TRA kufuta usajili na namba hiyo atapewa mtu mwingine.
Hapa Kazi ya fuvu la kichwa Ni kushikilia meno tu.
 
Ila nadhani tunaweza kufuatilia kujua undani wa jambo hili, maana mtoa ufafanuzi anasema inawezekana endapo gari iliuzwa kama chuma chakavu usajili wake kuhamishiwa katika gari nyingine.
[emoji848][emoji848][emoji848]
 
ni kawaida kabisa kukuta gari new model ina namba A na ikawa ya mtu binafsi kwa sababu ukiwa na gari yako hata ikiwa namba A kama imesha chakaa au umeuza kama chuma chakavu inatakiwa urudi TRA kufuta usajili na namba hiyo atapewa mtu mwingine.
Mtu mwingine anapewa kwa utaratibu gani? Anaingiza gari 'mpya' halafu anapwa/anaomba namba ya zamani?
 
Mmepigika tu. Msijifariji.
 
Mtu mwingine anapewa kwa utaratibu gani? Anaingiza gari 'mpya' halafu anapwa/anaomba namba ya zamani?
Ila ukifuatilia kwa makini Gari mpya zenye Namba A, kwanza sio gari za 20 to 10M ni ndinga za pesa ya kwenda. Then hili suala la kusema unapewa... Mmmhhh!
Kwamba gari ilipata ajali nikauza kama skrepa then... blah blah wakupe Registration ya nyuma. Kwa Tanzania inawezekana ila Kwa Tanzania Haiwezekani
 
Naona X ishafika 45O+ ndio kwanza tarehe 5 leo. Jumatatu tunafungua na Y tunafunga na Z ijumaa ijayo.

Kifupi tu kati ya tarehe 17-3O namba E itakuwa mtaani [emoji23][emoji23][emoji23]
September 1, EAA za kumwaga barabarani.
 
ukimaanisha nini ? inamaana hujui kwamba namba huwa zinarudishwa TRA na wanapewa watu wengine?
Hakuna gari ulishawah I pewa namba ya gari nyingine iliyopata ajali au kua written off. Huo ni uongo. Sema unaweza ona v8 au mi cruiser ina namba za Zaman wale ni vitengo maalumu ila haiwezekani hata siku 1 mtu kupewa namba ya gari ya zamani. Kama una ushahidi weka. Ingekua tusingekua tumefika Dzx leo. Zingeanza kujazwa namba zote za pikipiki ambazo zilihamishiwa Plate namba hizo mpya za pikipiki. Had leo nadhani tu ngekua dj au bado hatujaifikia
 
Kiukweeni Namba A kwa gari new Models nyingi huwa ni gari Kama Prado Tx, VX.R, GX.R na sasa kuna ZX.R L300 ya 2022 kama la Mabeyo ni A.
Garri hizi itkua ni kwa kazi maalumu.
Na TRA hawaruhusu kwa mtu binafsi akapewa usajili wa gari yake iliyoisha kitambo hicho then uje uweke kwenye IST uliyo import 2022
 
Gari mpya namba za zamani zinajulikana za akina Nani. ILA sio za mtu binafsi eti kanunua gari mpya apewe namba ya zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…