Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Kama namba C imesimama nachukua namba C hata B au A fresh tu.

Angalia namba A zile bus za Kilimanjaro halafu linganisha na hizi namba D za mabasi mengine.
Zile Marcopolo zimetulia haswa, wakirekebisha ndani zinazidi Yutong namba DV
 
Mfano unataka namba ya mbele zaidi wakati bado gari hazijafika mfano wataka uwe na gari ambazo namba zake zote ni 777/666/999/222
Inakubidi ulipie hiyo pesa wanakutupa namba hizo
 
Kuna jamaa kauza Crown Athlete namba DPZ ya mwaka 2006 iliyomgharimu Milioni 18 mwaka 2019 Leo hii 2022 kauza kwa Milioni 6.8

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Hio crown ilikua na hali gani? Ni 2500CC, 3000CC au 3500CC ili tujue? Mwaka 2019 Crown ya 2006 ushuru ilikua ni 6,555,000 kwamba yeye aliinunua 11,000,000 huko Japenga au imekaaje hapo mkuu...?
 
Inaweza kuwa ni updated body kit .. Kuna garages wameanza utukutu huo.. LC 100/200 zinavuliwa body inapandishwa 300. Exterior na interior .
Hao sidhani kama wamevalisha, hadi kurudisha namba nyuma hao yawezekana ni wale waleeeee
 
Na ukioona iogope sana. Kama haijaingia kimagumashi basi vipenyo wanakluwa ndani yake
 

Wewe mshamba kabisa! E ni herufi wala siyo namba! Nenda shule tena hata kama ni ya ngumbaro!
 
Mfano unataka namba ya mbele zaidi wakati bado gari hazijafika mfano wataka uwe na gari ambazo namba zake zote ni 777/666/999/222
Inakubidi ulipie hiyo pesa wanakutupa namba hizo
Mkuu sasa hivi namba hizi 111/222/333/444/555/666/777/888/999/123/456/789 zimeingizwa kwamba ni special namba kwaio hizo kuzipata ni 500,000 yani system inaisoma kama 500,000 hio hatari sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…