Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
DZZ haijafikaHere we go.View attachment 2322124
Acha ulimbukeni,hamna VXR namba A.Maderava wa Serikali ndio huwa wanabandika hizo plate number ili magari yao yasijulikane.Ipo Siku nitaipiga Picha hiyo Vx.R piruuu kabisa na ni ABN 704 T
Utakuja kung'olewa Pumbu na koleo.Ipo Siku nitaipiga Picha hiyo Vx.R piruuu kabisa na ni ABN 704 T
Kwaiyo madereva hao wako juu ya sheria?Acha ulimbukeni,hamna VXR namba A.Maderava wa Serikali ndio huwa wanabandika hizo plate number ili magari yao yasijulikane.
Mfank mdogo Dereva anayemwendesha boss wangu,namba ya usajili wa VXR yake ni STL lakini ametengeneza namba zingine 3 za DFP,Na 2 za private namba A.
Mabongo sijui lini yatapata katiba ya kenyaUtakuja kung'olewa Pumbu na koleo.
😄😄 Tunasubiri huruma ya wakuu.Mabongo sijui lini yatapata katiba ya kenya
Jibu hilo pigia mstari mkuu... Unafikiri trafic hawajui kuwa wakati namba A inatoka hakukua na VXRKwaiyo madereva hao wako juu ya sheria?
Naona unawafuatilia watu wa vitengo.Kwasasa ndio nimeelewa nikiona Gari Kisu halafu Kisahani kinasoma A.
Naomba kupatiwa ufafanuzi kwa Late namba zifuatazo nini humaanisha
Ni gari tatu sasa naziona zikiwa na namba hizi, Herufi 3 na namba 6, hazina T. Plate yake ni njano
1. WBA ******* Hii ni Mercedez Benz
2. AHN ******* Hii ni Alphard
3. GRS ******* Hii ni Athlete
Nimeacha[emoji23][emoji23][emoji23]Naona unawafuatilia watu wa vitengo.
Ok. Kumbe inaruhusiwa TRA wakaku_printia Chesis kwenye kibao cha njano... Au ndo zinazokuwa printed mtaani...Hapana kaka sio watu wavitengo wala nini bali ni chasses number ya gari husika mfano ist inaanzia na NCP100 vitz kuna NCP 60 Na mengine nayo ni hvyo hvyo Kuna ANH kuna WB n.k
Hizo ni kuna kampuni wanaprint hvyo vibao kwan haukuviona hata vile JPM 2020 kama sikosei viko printed the same na ukitaja jina lako ikiwa kama umekidhi vigezo vya tra wanakuprintia wao wanataka pesa.Ok. Kumbe inaruhusiwa TRA wakaku_printia Chesis kwenye kibao cha njano... Au ndo zinazokuwa printed mtaani...
Apart from hiyo kampuni nadhani mtaani pia wapo wanaofanya the same. Mfano. Kuna Coaster Private huwa zinabeba staff wa kampuni flani ina vibao vimeandikwa KIMARA ila wanaweka ndani mbele kwa dereva hivyo kinaonekana kwa nje. Dick Sound wa Magomeni anavyo vya ile Prado yake kaanika DICK SOUND ila huwa anapigia picha tu, hatembelei.Hizo ni kuna kampuni wanaprint hvyo vibao kwan haukuviona hata vile JPM 2020 kama sikosei viko printed the same na ukitaja jina lako ikiwa kama umekidhi vigezo vya tra wanakuprintia wao wanataka pesa.
Hizo ni code namba za gari au chassis number mfanoKwasasa ndio nimeelewa nikiona Gari Kisu halafu Kisahani kinasoma A.
Naomba kupatiwa ufafanuzi kwa Late namba zifuatazo nini humaanisha
Ni gari tatu sasa naziona zikiwa na namba hizi, Herufi 3 na namba 6, hazina T. Plate yake ni njano
1. WBA ******* Hii ni Mercedez Benz
2. AHN ******* Hii ni Alphard
3. GRS ******* Hii ni Athlete
Hii special number na sisi wenye namba A ina tuhusu?View attachment 2320788
Special number
Na kila moja ianzie 111 hadi 999Bado W X Y Z.
week tano mbele tupo E
J3 namba E zinaanza kua barabarani