Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Ipo Siku nitaipiga Picha hiyo Vx.R piruuu kabisa na ni ABN 704 T
Acha ulimbukeni,hamna VXR namba A.Maderava wa Serikali ndio huwa wanabandika hizo plate number ili magari yao yasijulikane.

Mfank mdogo Dereva anayemwendesha boss wangu,namba ya usajili wa VXR yake ni STL lakini ametengeneza namba zingine 3 za DFP,Na 2 za private namba A.
 
Kwasasa ndio nimeelewa nikiona Gari Kisu halafu Kisahani kinasoma A.
Naomba kupatiwa ufafanuzi kwa Late namba zifuatazo nini humaanisha
Ni gari tatu sasa naziona zikiwa na namba hizi, Herufi 3 na namba 6, hazina T. Plate yake ni njano
1. WBA ******* Hii ni Mercedez Benz
2. AHN ******* Hii ni Alphard
3. GRS ******* Hii ni Athlete
 
Naona unawafuatilia watu wa vitengo.
 
Hapana kaka sio watu wavitengo wala nini bali ni chasses number ya gari husika mfano ist inaanzia na NCP100 vitz kuna NCP 60 Na mengine nayo ni hvyo hvyo Kuna ANH kuna WB n.k
 
Hapana kaka sio watu wavitengo wala nini bali ni chasses number ya gari husika mfano ist inaanzia na NCP100 vitz kuna NCP 60 Na mengine nayo ni hvyo hvyo Kuna ANH kuna WB n.k
Ok. Kumbe inaruhusiwa TRA wakaku_printia Chesis kwenye kibao cha njano... Au ndo zinazokuwa printed mtaani...
 
Ok. Kumbe inaruhusiwa TRA wakaku_printia Chesis kwenye kibao cha njano... Au ndo zinazokuwa printed mtaani...
Hizo ni kuna kampuni wanaprint hvyo vibao kwan haukuviona hata vile JPM 2020 kama sikosei viko printed the same na ukitaja jina lako ikiwa kama umekidhi vigezo vya tra wanakuprintia wao wanataka pesa.
 
Apart from hiyo kampuni nadhani mtaani pia wapo wanaofanya the same. Mfano. Kuna Coaster Private huwa zinabeba staff wa kampuni flani ina vibao vimeandikwa KIMARA ila wanaweka ndani mbele kwa dereva hivyo kinaonekana kwa nje. Dick Sound wa Magomeni anavyo vya ile Prado yake kaanika DICK SOUND ila huwa anapigia picha tu, hatembelei.
Pale singida kuna wauzaji wa Computer wanaitwa EQUITY COMPUTERS mkabala na TigoShop hilo jina lime printiwa kwenye vibao na kubandikwa ukutani.
 
Kwasasa ndio nimeelewa nikiona Gari Kisu halafu Kisahani kinasoma A.
Naomba kupatiwa ufafanuzi kwa Late namba zifuatazo nini humaanisha
Ni gari tatu sasa naziona zikiwa na namba hizi, Herufi 3 na namba 6, hazina T. Plate yake ni njano
1. WBA ******* Hii ni Mercedez Benz
2. AHN ******* Hii ni Alphard
3. GRS ******* Hii ni Athlete
Hizo ni code namba za gari au chassis number mfano
ANH hii ni code number za Toyota alphard
Ikiandikwa ANH 10 Hii inamaanisha ni alphard iliotengenezwa 2002-2008 tena two wheel drive na ikiwa ANH15 four wheel drive hivyo Kwa sasa wengi wanaandika chassis number wakisubiri number E
 
2po humu
IMG-20220816-WA0027.jpg
 
Back
Top Bottom