Number E zipo mtaani ila chache sn, uko wapi mkuu? Nikipata picha nitakuwekea hapa.Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...
Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.
View attachment 1888026
Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..
Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...[emoji3]
Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...
Namba E rasmi October, D inakua yazamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
Number E zipo mtaani ila chache sn, uko wapi mkuu? Nikipata picha nitakuwekea hapa.
Tuko na DXQ sahvi by january hv tunaweza anza na DY.
Hapana...B imeanza 2009 mkuu. Maana 2010 mzee wangu alivuta ndinga mwezi wa 6 BKSB ilianza 2010
Dy january hio mzee...DZ Mpaka mwezi wa 3 au wa 4 huko...kumbuka January hapo mambo hua magumu. Ko kuanzia December watu wataanza kusave pesa kwa ajili ya January kwa ajili ya watoto kwenda shule na mambo mengine. Kwa hio DZ tutegemee sana sana mwezi wa 4 hukoDisemba tunaweza lala na dz maana dx inaisha mda si mrefu.. dy hatuwezi iianza January
D imeanza 2014Mbona mimi nina CPK na ni ya mwaka 2013? Hiyo D ya 2012 unazungumzia kitu gani boss?
Dy january hio mzee...DZ Mpaka mwezi wa 3 au wa 4 huko...kumbuka January hapo mambo hua magumu. Ko kuanzia December watu wataanza kusave pesa kwa ajili ya January kwa ajili ya watoto kwenda shule na mambo mengine. Kwa hio DZ tutegemee sana sana mwezi wa 4 huko
E mpaka March 2022Bila shaka maana DE ni namba ya 2015
😂😂 labda July 2022E mpaka March 2022
Haya tuko hapa mkuu. Kila mtu hataki kuvuta ndinga anaskilizia E ifike ndo aagize. Sasa mnavotegeana hvo boss unafikiri hio january hatuianzi na dyWewe ndio ununui gari, dy tunaainza mwaka huu ata mwezi wa 12 katikati inaweza isifike tutarudi kukumbushana
Noma sana yani! Af DW imedumu kidogo mno yani DX zikapenya chapDW ndo namba inayotamba mjini saiv on trending. Mtu akipita na ka DW kake anavimba sana
Hahahaha halafu gari za CMC bana dah yani unakuta range rover sports yamoto sana ila CTF.Unavimba na DW 2005 Toyota Crown wakati watu wako humble na CZB walizochukua CMC zikiwa na 18km za delivery tu!
Eeh kwa kumbukumbu zangu uko sahihiHapana...B imeanza 2009 mkuu. Maana 2010 mzee wangu alivuta ndinga mwezi wa 6 BKS
Noma sana yani! Af DW imedumu kidogo mno yani DX zikapenya chap
Hahahahah namba D kilometre chacheIla namba D imevuma sana.....hata demu watu wakawa wana classify kwa kigezo cha namba D