Tunaosubiri namba E tukutane hapa

We kama umejipanga kununua gari, nunu a gari...kwa sababu namba E haitaketa maajabu yoyote..kwa mfano, ukija kununua IST isajiliwe namba E, haitabadilika na kuwa Lamborghini kisa ni namba E....itabaki kuwa IST ile ile
Saivi namba A ni vintage
 
SAHIHISHO MUHIMU
Alphabets kutoka A to Z ziko 26 na siyo 25 na hivyo zinazoweza kutumika ni 24 na si 23. Kwa hali hiyo basi, idadi ya magari yanayoweza kuasjiliwa kuanzia herufi A to Z inakuwa 899x24x24x24=12,427, 776 na kila mojawapo ya herufi hizi inachukua idadi ya magari 517,824
 
Wangoja E tutakesha Sana kumbe 🤣🤣🤣
 
Bado mpaka mwakani iyoo!
Kama jimeli kubwa limeshusha magari 3,700 na 7,00 tu ndio yanabaki nchini, tegemea kupata namba E mapema mwakani.
Hapo bado kusajiliwa magari takrabin 64,000 ndio namba D ziishe.
Na katika hayo 700 mengine yana usajili wa namba maalum ambazo hazipo kwenye mfumo wa hizi za kawaida. Hapo unawezakuta gari 100 zinapungua zinabaki 600.
 
2012 ilikuwa namba C. Nakumbuka nilivuta mkoko japan ikasajiliwa CSJ
 
Ulisema October hii ni november Sasa hio E iko wap😀😀 afu Yani kutoka dw kwenda dx ingekuwa magari 1000 ingekuwa sa hivi tuko J huko


Ipo hivi mfano kutoka T 101 DAA hizo namba 101 Hadi zifike 999 ndo inakuja DAB nayo itaanza 101 Hadi 999 Kisha itakuja DAC ..

Kingne D ilianza 2014

 
Hivi upya wa gari unategemea Registration ya Number plate?

Kuna mtu atanunua STK kwenye mnada na itakuja kusajiriwa kwa Namba E, vip utai-term kama gari bora kwa maana ya upya?
Mbona kama design fulani uboya uboya hv!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…