Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

SAHIHISHO MUHIMU
Alphabets kutoka A to Z ziko 26 na siyo 25 na hivyo zinazoweza kutumika ni 24 na si 23. Kwa hali hiyo basi, idadi ya magari yanayoweza kuasjiliwa kuanzia herufi A to Z inakuwa 899x24x24x24=12,427, 776 na kila mojawapo ya herufi hizi inachukua idadi ya magari 517,824

Kama herufi D Imekaa kuanzia 2014 to approx 2022 like 9 years. Hii Inamaanisha kumaliza hadi Z Itachukua miaka zaidi ya 200.

517,824 cars = 9 years
12,427,776 cars = Y

Y = 216 years. Toa Idadi ya miaka kuanzia A hadi D upate Idadi ya miaka Iliyobaki.

Hii ni Maths ya kufikirika so staki povu.
 
Kabla ya namba zenye herufi D kuanza, huko nyuma namba za magarI zilikuwa zinatumika kwa pikipiki na Bajaj pia. Baada ya kuondolewa pikipiki, namba hizi zimeanza kudumu muda mrefu. HAPO KABLA zilikuwa zinakimbia sana. Ulichosema hapa ni sawa kabisa na hesabu yako iko sahihi kabisa
 
Shida yako wewe unapinga Kila kitu kama Chadema
Sasa tulia nitakutumia picha ya chuma hapo January
brother, sio kupinga, sasa hebu fanya kutupatia Elimu unafanyaje hiyo kitu na sisi tujue namna ya kufanya, kuliko kungoja kuja kutambishiana baadae 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom