lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,914
- 3,356
2033[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hiyo cjui mwaka gani huko, 2025 labda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2033[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hiyo cjui mwaka gani huko, 2025 labda
Herufi moja inadumu average miezi 3 hadi 4....
DXZ itaenda mpk january mwanzoni...
DY itaenda mpka Aprili,
DZ itaenda mpaka June.
July ndo tunaanza na Namba E.
Watu hawataki mchezo 🤣 magari 538 ndani ya hizi siku 14 yanaweza sajiliwa. Tukianza January tuanze na DYA🤣Dxz inaisha hii december maana ishafika 461 sasa hadi January naona mbali kweli
Kwa hesabu za haraka EAA tunakutana nayo 2024 maana naona bado kuna magari 44,950 bado yanahitajika kuifikia EWatu hawataki mchezo 🤣 magari 538 ndani ya hizi siku 14 yanaweza sajiliwa. Tukianza January tuanze na DYA🤣
Watu hawataki mchezo [emoji1787] magari 538 ndani ya hizi siku 14 yanaweza sajiliwa. Tukianza January tuanze na DYA[emoji1787]
Kwa hesabu za haraka EAA tunakutana nayo 2024 maana naona bado kuna magari 44,950 bado yanahitajika kuifikia E
Dy january hio mzee...DZ Mpaka mwezi wa 3 au wa 4 huko...kumbuka January hapo mambo hua magumu. Ko kuanzia December watu wataanza kusave pesa kwa ajili ya January kwa ajili ya watoto kwenda shule na mambo mengine. Kwa hio DZ tutegemee sana sana mwezi wa 4 huko
Pasaka tunakula na namba E next year. Tumeanza dy sasa
Watu hawataki mchezo [emoji1787] magari 538 ndani ya hizi siku 14 yanaweza sajiliwa. Tukianza January tuanze na DYA[emoji1787]
Unabonyeza *102# mkuu.Hv kwa mfano mtu umeplan labda upate namba DZZ utajuaje ipo apo hili upate gari la namba hyo
Mawazo yako ni ya kidhalilishaji😅 unataka wazee wa Facelifting tuumbuke na VX.R zetuUshauri wangu kwa mamlaka husika kama wamo humo ndani ya jukwaa
Wabadilishi mfumo wa PLAT NUMBER za magari ili ziwe zinaendana na mwaka wa gari lilipo tengenezwa (year of manufacture) hii itasaidia sn katika mambo mengi.
Mfano
Kama gari imetengenezwa 2003 au 2009
Waje na Code itakayo anza na mwaka kwa mfano gari zote zilizo tengenezwa kuanzia 2000 hadi 2009 wajena na CODE 2 au 5 inayo utambulisha mwaka husika Kwahiyo gari ya mwaka 2002 au 2009
Mwaka Plate Number
2001 TZ 21 DXX OR T 51 DXX
2002 TZ 22 TCH OR T 52 TCH
2009 TZ 29 CVF OR T 59 CVF
HAYA MAWAZO YANGU TU .
Hakuna namba inavutia kwenye gari kama namba D...
Ikija anza E, namba zitakuwa very awkward (mtazamo)
[emoji1]Vumilia vumilia kaka, namba D zinaboa...
Madalali wamehiaribu hiyo namba [emoji23][emoji23][emoji23]
T 100 EAA Ila haina mvuto sana kama ilivyokuwa na BNamba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...
Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.
View attachment 1888026
Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..
Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...[emoji3]
Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...
Namba E rasmi October, D inakua yazamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????