Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

April hata DZ yenyewe itakuwa bado mbichi kabisa yaani DZA hadi DZE.

Hii DX imeanza August na imeisha December kati.
 
Hakuna namba inavutia kwenye gari kama namba D...

Ikija anza E, namba zitakuwa very awkward (mtazamo)
Umeona kama mimi.

Natamani nirudi namba DM au DP.

Ndo nzikubali sana.
 
Kuna haja sasa na mimi kutafuta gari ili namba E ikianza nami niwe na ndinga, heshima mtaani na mjini iwepo, maana karibu kila kaya ya mjini inaelekea kuwa na gari, kwanini mimi nikose gari? Haiwezekani kabisa.
 
April hata DZ yenyewe itakuwa bado mbichi kabisa yaani DZA hadi DZE.

Hii DX imeanza August na imeisha December kati.
Kwa hiyo kutoka herufi moja kwenda nyingine huchukua wastani wa miezi minne.
 
20211219_163501.jpg
 
Hivi kwanini 'o' na 'i' hazipo kwenye series za plate number?
 
Back
Top Bottom