Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Watu hawataki mchezo [emoji1787] magari 538 ndani ya hizi siku 14 yanaweza sajiliwa. Tukianza January tuanze na DYA[emoji1787]

Tuko DYA sasa
IMG_1109.jpg
 
Dy january hio mzee...DZ Mpaka mwezi wa 3 au wa 4 huko...kumbuka January hapo mambo hua magumu. Ko kuanzia December watu wataanza kusave pesa kwa ajili ya January kwa ajili ya watoto kwenda shule na mambo mengine. Kwa hio DZ tutegemee sana sana mwezi wa 4 huko

IMG_1109.jpg



Mkuu ndio december bado. Watu wananunua gari bhana
 
Ushauri wangu kwa mamlaka husika kama wamo humo ndani ya jukwaa

Wabadilishi mfumo wa PLAT NUMBER za magari ili ziwe zinaendana na mwaka wa gari lilipo tengenezwa (year of manufacture) hii itasaidia sn katika mambo mengi.

Mfano
Kama gari imetengenezwa 2003 au 2009
Waje na Code itakayo anza na mwaka kwa mfano gari zote zilizo tengenezwa kuanzia 2000 hadi 2009 wajena na CODE 2 au 5 inayo utambulisha mwaka husika Kwahiyo gari ya mwaka 2002 au 2009

Mwaka Plate Number
2001 TZ 21 DXX OR T 51 DXX

2002 TZ 22 TCH OR T 52 TCH


2009 TZ 29 CVF OR T 59 CVF

HAYA MAWAZO YANGU TU .
Mawazo yako ni ya kidhalilishaji😅 unataka wazee wa Facelifting tuumbuke na VX.R zetu
 
Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...

Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.

View attachment 1888026


Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..

Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...[emoji3]

Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...

Namba E rasmi October, D inakua yazamani [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
T 100 EAA Ila haina mvuto sana kama ilivyokuwa na B
 
Back
Top Bottom