Mr_Teacher
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 362
- 343
Kivipi? Hebu fafanua tafadhali500,000/- tu unaipata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi? Hebu fafanua tafadhali500,000/- tu unaipata.
Sasa Gari zinazosajiliwa London na zote ni za 2003 unazitofautishaje?MH urefu wake nini? Zote ni 7 characters. UK wanatumia hizo. Mfano
LN03 DQP hapo LN ni London gari iliposajiliwa,03 ni mwaka gari iliotengenezwa.
Angalia T295 DVA ina characters ngapi?
Kumbe unaweza sa hz kwa tupo kwenye DXP ukategesha mapema kupata T999DXP lkn sio kutegesha za mbele zaidi mfano T111EAA?Mkuu hii siyo probability, number zinaenda kwa sequence, kuna mchezo wa kutegesha watu wanawapoza watu wa registration ikifika number anayotaka anapewa. Ndipo serikali ikaja na hiyo kulipa 500k upate number yoyote ya mbele.
Kuna jamaa kadhaa nawafahamu, magari yao yote huwa T999 XXX, Mwingine Muby 07 yeye hutegea T777XXX,
XXX Stands for lettet zilizopo wakati huo.
Hiyo michezo ipo sana.
LN03DQP LN53TRW LD03DUYSasa Gari zinazosajiliwa London na zote ni za 2003 unazitofautishaje?
Kwa sasa kila herufi mfano DW,DX inakaa wastani wa 4-5 months.
Mfano hii DXA imeanza tangu August 2021 na mpaka leo bado DXQ.
Hivyo EAA itakuwa November to December 2022.
Hiyo EAA inafika by April.Kwa sasa kila herufi mfano DW,DX inakaa wastani wa 4-5 months.
Mfano hii DXA imeanza tangu August 2021 na mpaka leo bado DXQ.
Hivyo EAA itakuwa November to December 2022.
Ni umaskini tu mzee,tunajiona wajanja kwny magari ambayo yameshajambiwa tayari na wazungu/wajapan,walishapigana blowjob kishenzi kwny hayo magari Ila ndo hivyo tena.Juzi kati Jamaa kanipa lift kwenye Gari number CM…..Aisee ndinga ilikuwa kama mpya. Kwa Hiyo number sioni Kama ni big deal. Kikubwa machine ukiwa nayo wewe itunze. Again ukiwa na dw….Nadhani utajiona wa Kishua zaidi ya mwenye DA or CD…..
Uko sahihiNi umaskini tu mzee,tunajiona wajanja kwny magari ambayo yameshajambiwa tayari na wazungu/wajapan,walishapigana blowjob kishenzi kwny hayo magari Ila ndo hivyo tena.
Hivi hii kitu inafanyika je? Maana sasa hivi naona namba za zamani zinafutika tu.No. E. Itakimbia kweli maana itafuta No. C. Kuwa E, tutatamba na No. C, kwa jina la E.
Wabongo noma sana.
Wale wenzangu na mm tunaonunua No. badala ya kununua gari, itakula kwetu!!!!!!
Hujaeleweka boss. Mtatamba na C kwa jina la E kivipiNo. E. Itakimbia kweli maana itafuta No. C. Kuwa E, tutatamba na No. C, kwa jina la E.
Wabongo noma sana.
Wale wenzangu na mm tunaonunua No. badala ya kununua gari, itakula kwetu!!!!!!
DH ilikua 2016Bila shaka maana DE ni namba ya 2015
Tarakimu zinazotumika ni 10, yaani 0 mpaka 9Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...
Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.
View attachment 1888026
Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..
Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...[emoji3]
Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...
Namba E rasmi October, D inakua yazamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
Kuna gari zinasomeka No. D, lakini uhalisia wake ni No. B. Hivyo basi itashindikanaje No. C kusomeka E.Hujaeleweka boss. Mtatamba na C kwa jina la E kivipi
Mkuu hizo namba za kufanana kama 222. 444 666 777 999 mbona zipoTarakimu zinazotumika ni 10, yaani 0 mpaka 9
Namba yenye tarakimu 111 huwa haipo; na pia namba zinazoanza na sifuri huwa hazipo pia
Kwa hiyo kwa utaratibu huu, namba zinazoweza kutumika kama tarakimu ya kwanza zina uwezekano wa kuchaguliwa kutoka kwenye namba 9, ambazo ni 1 mpaka 9
Namba zinazoweza kufuata kwenye ile tarakimu ya pili zina uwezekano wa kuchaguliwa katika zile 8 zilizobaki (baada ya ile ya kwanza kuwa imechukuliwa), lakini safari hii tukiongeza pia na sifuri kwa sababu sifuri nayo inaweza kutumika kama namba ya pili au ya tatu ila haiwezi kutumika kama ya kwanza.
Kwa hiyo kwa utaratibu huu, namba zinazoweza kutumika kama tarakimu ya pili zina uwezekano wa kuchaguliwa kutoka kwenye namba 9 zinaizobaki kutoka kwenye zile tarakimu kumi, baada ya ile ya kwanza kuwa imechukuliwa
Hali kadhalika, namba zinazoweza kufuata kwenye ile tarakimu ya tatu zina uwezekano wa kucghaguliwa kutoka kwenye zile 8 zilizobaki, baada ya ile ya pili kuwa imechukuliwa
Kwa hiyo, kwa utaratibu huu, muunganiko wa tarakimu tatu una uwezekano wa kuwa na namba (9x9x8)-1=648-1=647
Hapa tumetoa moja tukimaanisha namba yenye tarakimu 111 ambayo kawaida huwa haipo
Hilo la kwenye namba linakuwa limekwisha. Tunarudi sasa kwenye herufi tena
Alphabets A to Z ziko 25, lakini mbili huwa hazitumiki ambazo ni “I” na ”O”
Kwa utaratibu huu, herufi hizi zinabaki kuwa 23, na kila mojawaapo ya herufi katika hizi 23, ina uwezekano wa kutumika kama aidha herufi ya kwanza, ya pili au ya tatu
Kwa hiyo kwa idadi ya herufi hizi, muunganiko wake wa herufi tatu, unaweza kutengeneza idadi ya miunganiko ipatayo 23x24x21=10,626
Mbali na hilo, katika kila mojawapo ya miunganiko ya herufi hizi, kila muunganiko unaambatana tena na muunganiko wa namba tatu tatu zipatazo 647 kama tulivyoiziona hapo juu
Kwa hiyo idadi ya magari yatakayosajiliwa kuanzia herufi A mpaka Z (ukiondoa herufi mbili za “I” na “O”) ni magari 647x10,626=6,875,022
Kwa hiyo hadi kufikia namba ya mwisho kabisa ya toleo la herufi Z, jumla ya magari 6,875,022 yatakuwa yamesajiliwa, ndani ya matoleo ya herufi 23 kuanzia A mpaka Z
Kwa hiyo kila toleo la herufi moja moja litakuwa na idadi ya magari (6,875,022/23)=298,914
Kwa hiyo, kila toleo la herufi huwa huwa yanasajiliwa magari laki mbili na tisini na nane na mia ttisa na kumi na nne
Hata hivyo, idadi hii ni kwa utaratibu ule ambao hata namba zingine nazo pia hazitakiwi kujirudia, yaani kunakuwa hakuna 222, 333, 444,... kwa tarakimu, na pia kunakuwa hakuna AAA, BBB, CCC,.... n.k.
KWA HIYO KWA UTARTIBU KAMA ULIVYO SASA NCHINI AMBAPO NAMBA HIZI ZA KUJIRUDIA ZINAKUWEPO
Idadi ya tarakimu ni (9x10x10)-1=899
Idadi ya herufi ni 23x23x23=12,167
Idadi ya magari kuanzia herufi A mpaka Z ni 10,938,133 (899x12,157)
Idadi ya magari katika kila herufi ya toleo ni 475,571 (10,938,133/12,167)
Kwa hiyo kwa hali ilivyo sasa, kila toleo la herufi ya usajili linabeba idadi ya magari laki nne sabini na tano elfu, mia tano sabini na moja
MUBARIKIWE TENA NA BWANA
Sisemi kwamba hazipo isipokuwa nimetoa michanganuo miwili. Mchanganuo wa kwanza unahusisha namba zile ambazo huwa hazijirudii, na ule wa pili na ambao ndio tunaotumia sisi, unahusisha zile ambazo huwa zinajirudia isipokuwa hauna namba zinazojirudia kwa kutumia namba moja tu ya 111Mkuu hizo namba za kufanana kama 222. 444 666 777 999 mbona zipo
Na hapo unaposema herufi AAA BBB CCC DDD Mbona pia na hizo zipo
Labda kama wewe hujawahi kuziona