Speed iliongezeka zaidi pale mwezi wa 6, pale mama aliposema "msiwasemee wachina waache waseme wenyewe" akaruhusu waturuki na wao kupewa kipande cha SGR kujenga. Hapo wachina wakafarakana kuona wanapigwa bao.
Usajili ukiwa ni No. DW, wachina wakaanza kuleta magari kwa ajili ya kufanya kazi usiku na mchana ktk mradi wa reli ya kutumia umeme SGR. Mchina kwa hasira anaagiza kila kitu kutoka kwao hadi neti za kulalia, angalia DW za mwishini, DX na DY zinazotoka utaona gari nyingi ni mpya TOYOTA HILUX kutoka japan, HOWO tipa kutoka china pamoja na mitambo aina ya VOLVO kutoka china, hapo hapo na Mturuki nae analeta vya kwake. Wale wa No. EA, wasishangae kuona mwezi wa 3 kuwa barabarani, maana hayo magari ya mchina sasa hivi yapo bandarini yanashuka na mengine yapo njiani. Wale wenye leseni zao tukutane kwa mchima BUKWIMBA Mmwanza.