Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Zinakimbia
IMG-20220402-WA0002.jpg
 
Yani una hela zako unatembea kwa mguu kisa unasubiria namba EAA. Bongo hatari sana.

Ifike mda ghafla mfumo wa namba ubadilishwe kila gari isajiliwe upya kwa namba za mikoa kama South Africa au USA hadi wale wenye namba A wanapata namba mpya ndiyo mtajua hamjui kama ilivyokuwa kutoka kwenye TZA160 kuja T222AAA.
Nmewah ona migar ya zaman hapa bongo ina namba za mikoa, nafkir TRA wangeboresha tukatumia mfumo wa namba za mikoa ingekua poa sana
 
Nmewah ona migar ya zaman hapa bongo ina namba za mikoa, nafkir TRA wangeboresha tukatumia mfumo wa namba za mikoa ingekua poa sana
Wengine tunahama kila mwaka mkuu halafu mikoa nayo inaongezeka kila kukicha
 
Huu usajili ni gari za taasisi gan?
 

Attachments

  • IMG_0237.jpg
    IMG_0237.jpg
    928.3 KB · Views: 62
Back
Top Bottom