Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari 2 zimetengenzwa mwaka mmoja 2005 ila moja imesajailiwa T# CAB na nyingjne T# EAB ipi ni gari ya zamani? Naombeni ushauri.
Hizi ni zile gari 3000 zilizoshushwa mwezi uliopita na ile meli kubwa. So ni kama moto wa kifuu tu zitaanza kukwamia kwenye DZF. Zikifika F tunarudi kwenye trend ya herufi kukaa mwezi mzima.Kwa taarifa tu,
Hata mwezi haujaisha toka tuingie DZA leo tuko T 600 DZD+
Bado tuna week nzima kuhitimisha mwezi toka DZA ianze.
Never on earth...July EAA [emoji736]
Wewe jamaa hiyo hoja ya magari 16,164 ni kama imeshakukaa sana kichwani!😁.Hizi ni zile gari 3000 zilizoshushwa mwezi uliopita na ile meli kubwa. So ni kama moto wa kifuu tu zitaanza kukwamia kwenye DZF. Zikifika F tunarudi kwenye trend ya herufi kukaa mwezi mzima.
Kutoka F mpaka Z ni takribani herufi 18 zitakazobaki ambapo zitanipa magari 16,164 ambapo itachukua zaidi ya miezi 8 kuzimaliza.
Kuna chuma imetia nanga leo na magari 4000+ imevunja tena rekodi ya kuingiza gari nyingi zaidiWewe jamaa hiyo hoja ya magari 16,164 ni kama imeshakukaa sana kichwani![emoji16].
Siyo mengi kama unavyofikiria wewe.
Kuna meli 4 za magari zinatia nanga mwezi May pale Dar port.[emoji116]
Port of Dar es Salaam (Tanzania) - Arrivals, Departures, Expected vessels - VesselFinder
Port of Dar es Salaam (Tanzania) - Real-time data for recent ship arrivals and departures, ships in port and scheduled vessel arrivals. Weather information and forecasts for the next 7 days.www.vesselfinder.com
Hivi ninavyoandika leo 10th May kuna meli mbili za magari zipo hapo Dar port.
Gari zinazobaki bongo ni 900 kamili. Hazimalizi hata herufi moja...Kuna chuma imetia nanga leo na magari 4000+ imevunja tena rekodi ya kuingiza gari nyingi zaidi
Ni kawaida meli kuleta magari miaka nenda rudi but kutoboa magari 10k si kwa mwezi wala miezi mitatu ni zaidi ya 6Wewe jamaa hiyo hoja ya magari 16,164 ni kama imeshakukaa sana kichwani![emoji16].
Siyo mengi kama unavyofikiria wewe.
Kuna meli 4 za magari zinatia nanga mwezi May pale Dar port.[emoji116]
Port of Dar es Salaam (Tanzania) - Arrivals, Departures, Expected vessels - VesselFinder
Port of Dar es Salaam (Tanzania) - Real-time data for recent ship arrivals and departures, ships in port and scheduled vessel arrivals. Weather information and forecasts for the next 7 days.www.vesselfinder.com
Hivi ninavyoandika leo 10th May kuna meli mbili za magari zipo hapo Dar port.
Hata hoja yako haieleweki.Ni kawaida meli kuleta magari miaka nenda rudi but kutoboa magari 10k si kwa mwezi wala miezi mitatu ni zaidi ya 6
Kama ni kawaida meli kushusha magari, inakuwaje tena unatutisha kwamba yakiisha yale 3000 tutakwama kwenye DZF?Hizi ni zile gari 3000 zilizoshushwa mwezi uliopita na ile meli kubwa. So ni kama moto wa kifuu tu zitaanza kukwamia kwenye DZF. Zikifika F tunarudi kwenye trend ya herufi kukaa mwezi mzima.
Kutoka F mpaka Z ni takribani herufi 18 zitakazobaki ambapo zitanipa magari 16,164 ambapo itachukua zaidi ya miezi 8 kuzimaliza.....
Kuna meli nyingine imeingia jana ina magari 4600 hiviHizi ni zile gari 3000 zilizoshushwa mwezi uliopita na ile meli kubwa. So ni kama moto wa kifuu tu zitaanza kukwamia kwenye DZF. Zikifika F tunarudi kwenye trend ya herufi kukaa mwezi mzima.
Kutoka F mpaka Z ni takribani herufi 18 zitakazobaki ambapo zitanipa magari 16,164 ambapo itachukua zaidi ya miezi 8 kuzimaliza.....
Ngoja nikupe mfano hai labda utaelewa uhalisia ulivyo.Kutoka F mpaka Z ni takribani herufi 18 zitakazobaki ambapo zitanipa magari 16,164 ambapo itachukua zaidi ya miezi 8 kuzimaliza.....
Anakuambia zinazobaki nchini ni 900 tu.😁Kuna meli nyingine imeingia jana ina magari 4600 hivi
Sasa mkuu hapo herufi 6 zimechukua miezi 6. Je hizo 18 zilizobaki inakuaje?Ngoja nikupe mfano hai labda utaelewa uhalisia ulivyo.
Mimi nilisajili gari yangu 1_th September 2021 namba DXE.
Leo hii tupo 10th May 2022 na namba ni DZE.
TOKA September 2021 hadi leo May 2022 ni miezi tisa (9).
Kwa hiyo miezi 9 pekee tumesajili DXE-DXZ,DYA-DYZ na sasa DZA-DZE.
Hiyo miezi 8 ya DZF-DZZ wewe sijui unaitoa kwenye rejea ipi?
Kwani yeye ana inventory ya meli?Anakuambia zinazobaki nchini ni 900 tu.[emoji16]
Uwe unajitahidi kusoma vyanzo vya taarifa mbalimbali.Kwani yeye ana inventory ya meli?
Ukiwa mwerevu utakuja na data, ila ukiwa mjinga utabandika namba tu uonekane mpumbavuUwe unajitahidi kusoma vyanzo vya taarifa mbalimbali.
Itasaidia kuficha aibu flani flani unazowapa ukoo wako...
Mzee wa Insta ficha aibu ndogo ndogo kutaka kutafuniwa kila kitu....Ukiwa mwerevu utakuja na data, ila ukiwa mjinga utabandika namba tu uonekane mpumbavu
Gari za sensa hzo kaka..Mzee wa Insta ficha aibu ndogo ndogo kutaka kutafuniwa kila kitu....View attachment 2219178