View attachment 2238643
Hivi Unafikiri mtu mzima mwenye akili timamu kama mimi sijui kitu kidogo kama hicho?
Huyo mwenzio alituambia meli ya April iliyoshusha gari 3000 zikiisha tunakwamia kwenye DZF.
Kwamba DZF ingekaa mwezi mzima mpaka June huko.[emoji16].
Logic ya kuonesha quee ya meli za magari Dar port ilikuwa kuwaambia hatukwami hata zingeshusha gari 500 kila meli.
Kuna showrooms zina magari ya toka import ya January,kuna magari yanavuka toka Zanzibar daily.
Haihitaji nguvu kubwa kuutetea uhalisia.
NB:Hata hizo 500 zinazoshushwa Tz siyo zote zinasajili mwezi huohuo.