Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Dereva mpya gari mpyaDZN hiyo
.....View attachment 2270408
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dereva mpya gari mpyaDZN hiyo
.....View attachment 2270408
Hizo ndio mileage halisi ukikuta gari inazaid ya miaka kumi mileage below 100k ni uongo au nyingi huwa grade RView attachment 2278177Hawa jamaa wanajiita janinternational Tanzania wanataka kunitia vishawishi.
Wametoa punguzo la 2-3M kwa kila gari wanalouza msimu huu wa 7-7.
Changamoto ya magari yao mengi mileage ni 100K+ kilometers.
Ofa yao inaisha lini?View attachment 2278177Hawa jamaa wanajiita janinternational Tanzania wanataka kunitia vishawishi.
Wametoa punguzo la 2-3M kwa kila gari wanalouza msimu huu wa 7-7.
Changamoto ya magari yao mengi mileage ni 100K+ kilometers.
Hivi grade R ina maanisha nini kule kwenye Auction.?Hizo ndio mileage halisi ukikuta gari inazaid ya miaka kumi mileage below 100k ni uongo au nyingi huwa grade R
Hivi grade R ina maanisha nini kule kwenye Auction.?
Sina uhakika.Ofa yao inaisha lini?
Shida ni pale utakapohitaji kuliuza tu kibongobongo.
Wanunuzi wataelewa kweli kuwa wewe ni genuine mileage na wengine ni ghushi?
Kwa wanaonunua gari anadumu nalo mpaka limfie sioni shida
Kama kitu umekipenda kwaajili ya matumizi yako binafsi achana na mawazo ya kuuza,Shida ni pale utakapohitaji kuliuza tu kibongobongo.
Wanunuzi wataelewa kweli kuwa wewe ni genuine mileage na wengine ni ghushi?
Kwa wanaonunua gari anadumu nalo mpaka limfie sioni shida kabisa.
Sasa kwani wauzaji magari wengi ndio gari wanazonunua hizo na kuja ku temper na Odometer tu. We unaamini Dualis unayooziwa showroom kwamba imetembea 56000km halisi?View attachment 2278177Hawa jamaa wanajiita janinternational Tanzania wanataka kunitia vishawishi.
Wametoa punguzo la 2-3M kwa kila gari wanalouza msimu huu wa 7-7.
Changamoto ya magari yao mengi mileage ni 100K+ kilometers.
Bora tu lishushwe huko huko showroom nilipate likiwa 67,000Km tayari kuliko niuziwe lina 163,000Km halafu niingie gharama tena kutafuta washusha mileage.😁!Sasa kwani wauzaji magari wengi ndio gari wanazonunua hizo na kuja ku temper na Odometer tu. We unaamini Dualis unayooziwa showroom kwamba imetembea 56000km halisi?
Mji gani huo ulikua hauna wajanja,nenda atown wapo kibaoBora tu lishushwe huko huko showroom nilipate likiwa 67,000Km tayari kuliko niuziwe lina 163,000Km halafu niingie gharama tena kutafuta washusha mileage.😁!
Nimewahi kuwahitaji wachezea Odo mkoa fulani nikawakosa.
BTW: Inaweza kuwa bei gani kuchezea mileage?
Gari nyingi zina hiyo odometer reading wajanja huzipunguza ili wapige watu mapesaView attachment 2278177Hawa jamaa wanajiita janinternational Tanzania wanataka kunitia vishawishi.
Wametoa punguzo la 2-3M kwa kila gari wanalouza msimu huu wa 7-7.
Changamoto ya magari yao mengi mileage ni 100K+ kilometers.
Nawapataje hao jamaa?Gari nyingi zina hiyo odometer reading wajanja huzipunguza ili wapige watu mapesa
Mwanza hiyo ilikuwa labda sikupata connection nzuri tu.Mji gani huo ulikua hauna wajanja,nenda atown wapo kibao
Wanaweza charge bei gani Mkuu?Mji gani huo ulikua hauna wajanja,nenda atown wapo kibao
Kujieleza kwako tu,maelewanoWanaweza charge bei gani Mkuu?
Tzs60,000-80,000 hapoBora tu lishushwe huko huko showroom nilipate likiwa 67,000Km tayari kuliko niuziwe lina 163,000Km halafu niingie gharama tena kutafuta washusha mileage.😁!
Nimewahi kuwahitaji wachezea Odo mkoa fulani nikawakosa.
BTW: Inaweza kuwa bei gani kuchezea mileage?
Nimeona gari leo T 836 DZQ
Namba zipo DZR saiv 🤣Nimeona gari leo T 836 DZQ