Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

View attachment 2278177Hawa jamaa wanajiita janinternational Tanzania wanataka kunitia vishawishi.

Wametoa punguzo la 2-3M kwa kila gari wanalouza msimu huu wa 7-7.

Changamoto ya magari yao mengi mileage ni 100K+ kilometers.
Hizo ndio mileage halisi ukikuta gari inazaid ya miaka kumi mileage below 100k ni uongo au nyingi huwa grade R
 
Shida ni pale utakapohitaji kuliuza tu kibongobongo.

Wanunuzi wataelewa kweli kuwa wewe ni genuine mileage na wengine ni ghushi?

Kwa wanaonunua gari anadumu nalo mpaka limfie sioni shida

Shida ni pale utakapohitaji kuliuza tu kibongobongo.

Wanunuzi wataelewa kweli kuwa wewe ni genuine mileage na wengine ni ghushi?

Kwa wanaonunua gari anadumu nalo mpaka limfie sioni shida kabisa.
Kama kitu umekipenda kwaajili ya matumizi yako binafsi achana na mawazo ya kuuza,
Kama mungu alikupa uwezo ukanunua hilo hashindwi kukupa uwezo wa kupata lingine unalolipenda.
 
👇👇
 
Attachments

  • IMG_20220702_104954.jpg
    IMG_20220702_104954.jpg
    84.9 KB · Views: 16
View attachment 2278177Hawa jamaa wanajiita janinternational Tanzania wanataka kunitia vishawishi.

Wametoa punguzo la 2-3M kwa kila gari wanalouza msimu huu wa 7-7.

Changamoto ya magari yao mengi mileage ni 100K+ kilometers.
Sasa kwani wauzaji magari wengi ndio gari wanazonunua hizo na kuja ku temper na Odometer tu. We unaamini Dualis unayooziwa showroom kwamba imetembea 56000km halisi?
 
Bora tu lishushwe huko huko showroom nilipate likiwa 67,000Km tayari kuliko niuziwe lina 163,000Km halafu niingie gharama tena kutafuta washusha mileage.😁!

Nimewahi kuwahitaji wachezea Odo mkoa fulani nikawakosa.

BTW: Inaweza kuwa bei gani kuchezea mileage?
 
Mji gani huo ulikua hauna wajanja,nenda atown wapo kibao
 
Back
Top Bottom