Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Kikubwa E ifike 😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikubwa E ifike 😀😀😀
Acha uongo DZZ bado
Acha uongo DZZ bado
View attachment 2305305
[emoji23][emoji23] kuna sehemu nimeiona hii ila nilipoingia deep nikagundua ni edit
Kuna namba D ukiiangalia mara 1 tu hutamani hata kuiangalia tena.Ina matter na ndio maana kwa sasa tunakoelekea mwishoni mwa. herufi D tunafuatilia kwa makini.
Soon baada ya series ya D ikiisha itaanza series ya E ambayo nayo itachukuwa kati ya miaka 7-10 mpaka kuisha na kuanza series ya F.
Kwa Resale value ya gari kibongo bongo imeonekana Series ikiwa sio current inapunguza thamani ya gari sokoni. Mfano kwa sasa gari ikiwa number C ama gari ikiwa D kuna uwezekano wa D kuwa na soko zaidi kuliko C. Hata kama gari namba C ni nzima kuliko D ila namba D ndio ina chance kubwa ya kuuzwa bei nzuri.
Hivi inakuaga ni nini haswa, unakuta namba B haijaoga rangi iko vizuri ukiwekewa na namba D hapo hauuwezi amini, hata D zenyewe unaweza kuta DV na DB ukiwekewa DV haitamanikiKuna namba D ukiiangalia mara 1 tu hutamani hata kuiangalia tena.
Na kuna namba B au C ukiiona utageuza shingo.
Ya mchongo hiyoView attachment 2305305
[emoji23][emoji23] kuna sehemu nimeiona hii ila nilipoingia deep nikagundua ni edit
MatunzoHivi inakuaga ni nini haswa, unakuta namba B haijaoga rangi iko vizuri ukiwekewa na namba D hapo hauuwezi amini, hata D zenyewe unaweza kuta DV na DB ukiwekewa DV haitamaniki
Basi kuna watu utunzaji ni 0Matunzo
Kuangalia usajili wa plate namba za gari kisha kukadiria bei(thamani) ya gari sio sahihi na nikukosa uweledi wa kujua thamani halisi ya chombo. Sababu kuna watu wana gari zilizosajiliwa kwa B... zpo vizuri zaidi kuliko DVW.Ina matter na ndio maana kwa sasa tunakoelekea mwishoni mwa. herufi D tunafuatilia kwa makini.
Soon baada ya series ya D ikiisha itaanza series ya E ambayo nayo itachukuwa kati ya miaka 7-10 mpaka kuisha na kuanza series ya F.
Kwa Resale value ya gari kibongo bongo imeonekana Series ikiwa sio current inapunguza thamani ya gari sokoni. Mfano kwa sasa gari ikiwa number C ama gari ikiwa D kuna uwezekano wa D kuwa na soko zaidi kuliko C. Hata kama gari namba C ni nzima kuliko D ila namba D ndio ina chance kubwa ya kuuzwa bei nzuri.
Hio ni kweli. Ila nikisema nikuuzie gari namba C iliokaza against number D ya gari hio hio hata kama sio nzuri utanunua ya C kweli?Kuangalia usajili wa plate namba za gari kisha kukadiria bei(thamani) ya gari sio sahihi na nikukosa uweledi wa kujua thamani halisi ya chombo. Sababu kuna watu wana gari zilizosajiliwa kwa B... zpo vizuri zaidi kuliko DVW.
Kipimo sahihi kujua thamani ya gari husika kwa ajili ya resale. Inatakiwa iwe;
1. Uchakavu wa gari husika (body, engine na interior)
2. Mwaka wa uzalishaji gari
3. Kama imeshawahi pata ajali (kama imepata ajili bei lazima iwe chini)
4. Umbali uliotembea (hapa unakuta crown imetembea 150,000KM na bado watu wanauziwa kwa bei sawa na iliyotembe umbali wa 50,000KM)[emoji31]
5. Record za service
UKIJUA THAMANI YA HELA YAKO HUTAKUBALI KUUZIWA GARI JUST BASED ON REGISTRATION PLATES.
Siyo tu kuwastukia , inaeza leta kizaa zaa pia ,Na hayo ndio makosa makubwa sana wanayofanya watu wetu wa usalama, kwa style hiyo kila mtu anawashtukia
Kuna hamaa yangu gari ipo bond toka mwezi wa tano anasubiri EMnaosubiri namba E ina maana hamna uhakika wa kununua gari ingine baadae?!! E ipo miaka mingine 5-8 sasa kimuhemuhe cha nini? Nimetulia zangu na D mbili na C moja wala sina pressure. Katika series hizi mpya ni B tu ilinipita bila kununua gari nilikomaa na A mpaka C katikati.
Dah!! We jamaa.Mimi nasubir mpka ifike MBO
Halafu itafika muda EAA inakuwa kama namba A wakati huo watu wako EVGKuna hamaa yangu gari ipo bond toka mwezi wa tano anasubiri E
Sasa hivi watu wanajiwekea namba tu hovyo hovyo hamna control yoyote. Mtu anaweka herufi mbili za chassis number na vinamba vitatu tayari anapuyanga nalo mtaani! Hakuna control kabisa. Kama msimamia sheria anavuruga utaratibu unafikri watu wengine mtaani watafanyaje?Siyo tu kuwastukia , inaeza leta kizaa zaa pia ,
Sidhani kama kuna control nzuri ya hizi random plate numbers , wahalifu wanaweza kuchora namba zao na kufanya tukio huku raia tukidhani kuwa ni usalama .
Haitafika milele kwasabau hakuna herufi I wala O kwenye mfumo huu.Mimi nasubir mpka ifike MBO