Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Here we go! [emoji2][emoji2]View attachment 2335056
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Here we go! [emoji2][emoji2]View attachment 2335056
Pole sana, yaani umeilipia insurance juzi tar. 25 imeshapata ajali.[emoji856]View attachment 2336458
yaani huyu mbele kaumia nyuma kaumia [emoji23][emoji23] dah hapo ladha ya gari hamna tenaImepigwa busu fasta sanaView attachment 2337235
Kwa Uchakavu wa 500k tu, una hold special number. Huduma inatolewa TRANasikia kuna jinsi ya kulipia special Number ngoja wataala waje hapa watuelekeze
Here we goView attachment 2340349
Ya mchongoHere we goView attachment 2340349
Toa formula ya hizi hesabu zako basiKama DW ipo kwenye V, bado DWW , DWX, DWY, DWZ then
DXA mpaka DXZ,
DYA mpaka DYZ,
DZA mpaka DZZ.. Ndio ianza EAA..
Kila serie moja ina T100### mpaka T999### yaani jumla ya vehicles ( magari na matela) jumla vyombo sajiliwa kwa kila serie 900 , kiufupi ukichukua kuanzia
DWW mpaka DWZ ni gari 900x 4 = 3,600
DXA mpaka DXZ ni gari 900 x 24 = 21,600
DYA mpaka DYZ ni gari 900 x 24 = 21,600
DZA mpaka DZZ nazo ni hivyo hivyo 21,600 jumla mpaka kufikia mwisho wa initial D ni jumla ya vyombo vya moto 68,400 Kwa hiyo kwa hisia na makisio yangu binafsi ( mtizamo wangu toka kamati ya machale na utabiri usio wa kitaalam) usajili EAA labda katikati kuelekea mwishoni mwa mwaka 2023 . Tuombe uzima huu uzi uendelee kuwepo. (Edited )
Special numberHere we go! [emoji2][emoji2]View attachment 2335056
Bet Won leo ni siku ya mwisho ya mwezi August! Tumevuka lengo me nilitabiri EAFHadi huu mwezi usishie EAE itakuwa imefika
Watu wako speed kweli... Kuna uwezekano Dec tukawa EBBet Won leo ni siku ya mwisho ya mwezi August! Tumevuka lengo me nilitabiri EAFView attachment 2340812
December mbali hivyo? Mwezi wa 11 tu tunaanza EBWatu wako speed kweli... Kuna uwezekano Dec tukawa EB
Tunaingia kwenye uchaguzi 2025 na EM.December mbali hivyo? Mwezi wa 11 tu tunaanza EB
Hakika... Huu Uzi ufungwe rasmi....Namba E imeshafika Uzi ufungwe
Permutation & combination.Toa formula ya hizi hesabu zako basi
Bet Won leo ni siku ya mwisho ya mwezi August! Tumevuka lengo me nilitabiri EAFView attachment 2340812
Una elimu gani? Na hio 2012 ni D zipi hizo..?Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...
Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.
View attachment 1888026
Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..
Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...[emoji3]
Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...
Namba E rasmi October, D inakua yazamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
Update
22/08/2022
Leo ndio tarehe namba E imeingia mtaani,
Tangu mwaka jana mwezi kama huu uzi huu uanzee....
Bye bye namba D, madalali sasa tuingie kazini [emoji3][emoji3][emoji3]
Toa namba D mtaani, weka namba E, habari ya mjini [emoji28]
View attachment 2332963
Chaos