Kumbuka Kuna ENA...ENB...ENZ; EOA.Ipo karibu sana jombaaa
Kwasasa imeingia tayari namba ENB...... Tanzania hakuna namba O na I hizi namba huwa zinarukwaKumbuka Kuna ENA...ENB...ENZ; EOA.
....Sio Leo hilo dude.
Kwani E Ilianza lini?
Mhn ..kwahiyo alitoa Kwa nani?Mtegemee Mungu naye Atakufanikisha na utanunua hiyo namba F bila wasiwasi 🙏🏿
View attachment 3444173
Ukiwa ni unayeisubiri angalau uweunaisubiri iliuipachike kwenye hammer au angalao jeep wrangler.usije kuwa unasikilizia ujipate uagize ka ist kandoto yako!Wadau namba zinakimbia sana ..sasa hivi wapo kwenye EMZ ..sasa tunaosubiri namba za herufi "F" tukutane hapa
Utasubiri mpaka saa100 anamaliza kipindi chake cha wizi wa kura!Wadau namba zinakimbia sana ..sasa hivi wapo kwenye EMZ ..sasa tunaosubiri namba za herufi "F" tukutane hapa
Hapo ni 2030 mkuu!Hahaha ni hapo 2026 tu