Tunaosubiri namba “F” za magari tukutane hapa. T001 FAA

Tunaosubiri namba “F” za magari tukutane hapa. T001 FAA

Mkuu EP washahama huko now wapo na EQ, jana nimekutana nazo kadhaa barabaran.
Hii Kasi inatisha ..inaonekana awamu hii ya mama watu wanabeba ndinga sana na uchumi umefunguka miongoni mwa watu..
Namba "D" Ilikaa takribani miaka 7
 
Herufi O na namba 0 zinafanana pia herufi I na namba 1 zinafanana hivyo itakuwa ngumu Kwa traffic kuweza kutofautisha Kwa haraka endapo kuna tukio limefanyika

Serikali iliamua kuondoa hizo herufi
 
Kuna mahali nimeona bajaji imepata ajali ina namba inayoanza na F.
Bajaj na pikipiki zinatumia namba tofauti, wao ni MC 101 AAA
Magari ni T 101 AAA
So ni MC kwa T
Gari sasa hivi ipo EQ
pikipiki ni FR
 
ES

ESA
ESB
…
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    1 MB · Views: 14
Back
Top Bottom