Tunaosubiri namba “F” za magari tukutane hapa. T001 FAA

Ni muda wa kutosha kuzichanga, maana kama leo ni EMZ hadi kufika Z utakuwa na uhakika wa IST yako
 
Kuna mahali nimeona bajaji imepata ajali ina namba inayoanza na F.
 
Wadau namba zinakimbia sana ..sasa hivi wapo kwenye EMZ ..sasa tunaosubiri namba za herufi "F" tukutane hapa
Ukiwa ni unayeisubiri angalau uweunaisubiri iliuipachike kwenye hammer au angalao jeep wrangler.usije kuwa unasikilizia ujipate uagize ka ist kandoto yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…