Hizo namba zinasaidia nini?!Wadau namba zinakimbia sana ..sasa hivi wapo kwenye EMZ ..sasa tunaosubiri namba za herufi "F" tukutane hapa
F ni mwaka huu huuF inatosoma mwakani
ER ipo tangu MarchER
Mapema tu December mwaka huu
ER zipo tangu MarchBajaj na pikipiki zinatumia namba tofauti, wao ni MC 101 AAA
Magari ni T 101 AAA
So ni MC kwa T
Gari sasa hivi ipo EQ
pikipiki ni FR