Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Fy:
Nimetumia terbinafine cream vikapotea nashangaa jana vimetudi
Ushauri tafadhar
Nimetumia terbinafine cream vikapotea nashangaa jana vimetudi
Ushauri tafadhar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole ila dawa ya vibarango/mapunye ni rahisi sana ni hii
Chukua msusa(majani ya maboga) yasigine mpaka upate majimaji, weke kwenye hayo mapunye, hata mara 2 tu. Unafuta mpaka kovu.
Ulete mrejesho
Pole ila dawa ya vibarango/mapunye ni rahisi sana ni hii
Chukua msusa(majani ya maboga) yasigine mpaka upate majimaji, weke kwenye hayo mapunye, hata mara 2 tu. Unafuta mpaka kovu.
Ulete mrejesho
Ni tiba rahisi sana huwezi amini lakini hebu fanya hivyo utaleta majibuHivo tu,,,
Ni tiba rahisi sana huwezi amini lakini hebu fanya hivyo utaleta majibu
Kongole kwa kuchukua uamuzi wa kutibu, kiuhalisia vitu kama hivi wengi huchelewa kuvitibu for no reason, unaweza kuta mtu ana utango utango mwili mzima mpaka uso unabadilika anakuwa na mabaka kama chui ila anachukulia poa tu
Akijitahidi ni kujipaka mifuta ya breki kama juha ilhali kuna dawa bei nafuu tu inayoweza kutibu sharti ujitoe na ujipende
The same applies kwa fangasi, ugonjwa wa ngozi, mapunye etc. Haya magonjwa yakikupata tu yaitbu fasta usirembe
Paka maji ya matunda yanaitwa tula (Usukumani) au ndulele (Uchagani) mara 2 kwa siku baada ya kuoga. Unatafuta matula yaliyoiva unakata unakamulia maji yake kwenye hayo mapunye. Majimaji yakishakaukia pangusa mbegumbegu. Hii yenyewe ni kiboko ya mpaka yale mapunye yaliyoshindikana kwa dawa za kumeza.
Come and thank me later.
Hiyo ni fungus ya ngozi
Mwanamame unajali mambo ya hivi kweli