Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Vijana wenzangu naona Siku zinakwenda mbio, form 6 ndo hao washaanza mitihani na kwa wale waliopo vyuo vya kati kumalizia diploma naona semester ndo hvyo tena inakatika mdogomdgo.
Bila shaka next month(July) bodi ya mikopo wataanza kutoa announcement about uombaji wa mikopo mwaka huu.
Hv diploma mwenzangu chuo chochote ulichokuwa unaionaje kasi ya hii semester hadi kufikia kuimaliza tutakuwa na muda wakutosha kuomba vyuo mbalimbali..!! Na kama mnavyojua sasa ushindani ni mkubwa.!!
Vp pia kuhusu Application za mkopo mbilingembilinge zake tutaendana na muda kweli..!!
Ni hasa tufanye ili tuendane na muda husika kwa kuwahi kuomba vyuo mapema(Madirisha ya kwanza)
Mkuu Masiya karibu sana Jukwaa lako penda utushauri ndugu zako.
% Karibuni %