Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mwaka gani?Wahaya hayo mambo ya mizimu tuliyaacha zamani sana
Tangu nizaliwe sijayakuta nyumbaniMwaka gani?
Swadakta. Nyie ni wayunaniTangu nizaliwe sijayakuta nyumbani
Swadakta. Nyie ni wayunani
Majibu tu unanikoshaga wewe jamaaSwadakta. Nyie ni wayunani
Wakuu wenu wanawawakilisha kimya kimyaTangu nizaliwe sijayakuta nyumbani
Wakuu ukimaanisha baba na babu?Wakuu wenu wanawawakilisha kimya kimya
Ndio,wenye umri mkubwa kuliko nyie.Wakuu ukimaanisha baba na babu?
Hapana kwa kweli kwetu ni watu wa kuamimi mizimu ya wazunguNdio,wenye umri mkubwa kuliko nyie.
Na shule inachangia....[emoji2][emoji2]Wahaya hayo mambo ya mizimu tuliyaacha zamani sana
Acha kutusingizia wewe, wahaya hatujaacha asili yetu. Bado wenzio tunatambika na nyaruju zetu zipo na rubaya bado zipo nyingi. Mimi mwenyewe kwetu tunatambika kama kawaida na kuomba (kutela omushango). Ukipeleka kitu chochote nyumbani kama zawadi huwa kinatolewa kidogo kinawekwa huko madhabahuni (omurubaya/nyaruju) na mhusika anakuombea kwa mizimu ikubariki wewe uliyeleta rizki zako zizidi kufunguka na uzidi kufanikiwa na wakulinde na mabaya yote. Na kweli ukirudi mjini mambo yako yananyooka na mtu hawezi kuchezea au kukuroga.Wahaya hayo mambo ya mizimu tuliyaacha zamani sana
Shule inayokufanya udharau ya kwako utukuze ya mwenzio inakuwa haikukomboi bali inakufanya mtumwa.Na shule inachangia....[emoji2][emoji2]