Tunaotarajia kwenda kufanya interview ya TRA kwa kada za customs officer II na tax management officer II tukutane apa tupeane Tips za writen interview

Tunaotarajia kwenda kufanya interview ya TRA kwa kada za customs officer II na tax management officer II tukutane apa tupeane Tips za writen interview

Dah ukikutwa na cmu si Msala uo
Kwa wingi huo wa watu walioitwa sina shaka yakuwa ukiingia na simu ni sawa,nakumbuka kuna usaili mmojawapo tuliitwa watu karibia elfu 2 tukafanyia pale udom,ukumbi ukawa mdogo basi ikawalazimu tukae kwa kubanana yaani ilipelekea baadhi ya watu kuingia na simu na wala hawakuonekana,so inawezekana pia kuingia na simu ujanja wako tu
 
Kama tittle ya thread inavojieleza, wale wote tunaotazamia kwenda kupambana kwenye interview ya mamlaka ya mapato Tanzania kwa kada za customs officer II na tax management officer II naomba tupitie apa tupeane tips, techniques,na possible questions za written paper katika usahili uo

Naomba kuwasilisha

#stay blessed guys
#merci
HABARI
Tutakuwa na gari (costa) go and return (DSM TO DODOMA ) kwawanaokwenda kufanya interview Dodoma tarehe 7/08/2021, tutatoka uku Ijumaa na kurudi baada ya kumaliza interview Jumamosi/jumapili. Karibu Twende pamoja na turudi pamoja kwa TSH 30,000/= kwa kila mmoja.

JIUNGE HAPA KWENYE GROUP

Usafiri Ni uhakika, Tutachua Kosta moja watu 28 -30)
SHARTI LAZIMA IDADI ITIMIE , ILI KUFANIKISHA SAFARI HII. GARI IPO KINONDONI BIAFRA
 
k

kaka naomba uni add tena kwenye hili group nilipoteza simu nadhani mpaka leo lipo 0715715385
 
Hzi Ajira kumbe mpka Leo bado hawajatoa watu... Ni kitambo sana hizi Toka mwezi March nakumbuka
 
Back
Top Bottom