Kwa sasa nyie walafi wanaotaka ubunge bila kujari hatma ya Watanzania msitutoe kwenye reli tumeshauzoea ulafi wenu.
Mjadara wa sasa ni Tanzania inakuwaje nchi ya wanaowajibika, iwe watawala au watawaliwa!
Je miundombinu ya kuwajibika na kuwajibishana tunaiwekaje sawa kwa namna imeshakuwa collaterally damaged! namaanisha Katiba, sheria, kanuni na taratibu.
Je mnufaika wa mfumo mbovu inapokuwa ameshaamua kugomea hiyo rennaissence kistaarabu, nini kifanyike, kivipi!
tujifunze kwa wengine
Wayahudi dunian kote huwa wanachangishana kutetea hatma yao Israel.
Wahima dunian kote wali/huwa wanachangishana kutetea hatma yao.
Sasa kwa vile hatuna wanasiasa wanajeshi(determined real men), atengenezwe (kama uncle Thom P.R)
Ipite kampeni ya kukusanya nguvu ya hali na mali( kama wanavyofanya diaspora kusupport kidemokrasia lakin bila kujua wanampa kuku mganga ale tu),
Alafu tuongee lugha ambayo tutaelewana!(ultimatums).
Mpaka sasa nina imani na Mwabukusi tu katika njia hii ya ..*when squeezed to the wall....
hakika michango ipo( hali na mali) lakin hakuna mkusanyaji!