Tunaotegemea kugombea ubunge 2025 njooni tuweke mikakati yetu hapa binafsi nagombea jimbo la Mbozi

Kila mtanzania ana haki ya kugombea nafasi yeyote ile katika taifa letu. Taifa letu halibagui mapambano ni kwenye sanduku la kura.
 
Mkakati wa kwanza tujiwekee mgombea angalao awe mwenye stahahada yeyote,ama kuanzia kidato cha sita na kuendelea.Ili kulisaidia kweli taifa letu.Tuache habari ya kujua kusoma na kuandika kwani hapo ndipo maslahi ya wachache yanapopenyezwa,ama kwa kujua kwao,ama kwa kutokujua kwao nini chenye manufaa kwa taifa na ni nini chenye manufaa kwa wachache🤓
 
Unakuja kugombea ubunge kwetu halafu unapita bila kusalimia.!!

Karibu mbozi Mzee upambanie kula keki ya Taifa.
 
Umeongea mambo ya msingi sana lakini hilo ni jambo la constitution amendment. Sidhani kama linawezekana bila katiba kuweka vifungu kama hivyo.
 
Punguzeni ubaguzi na dharau. Kama mnataka Hilo litoker nendeni bungeni mbadilishe katiba iwe ya chama kimoja. Eti usichague CHADEMA hamta letewa maendeleo. Basi kwenye Kodi muwa except wanachama wa CHADEMA kutokulipa Kodi. Very stupid
 
Mie najaribu aidha Shinyanga vijijini au Sumbawanga vijijini au Songea vijijini. Au vipi.!@
 
Punguzeni ubaguzi na dharau. Kama mnataka Hilo litoker nendeni bungeni mbadilishe katiba iwe ya chama kimoja. Eti usichague CHADEMA hamta letewa maendeleo. Basi kwenye Kodi muwa except wanachama wa CHADEMA kutokulipa Kodi. Very stupid
relax bas mkuu
 
Mimi sitagombea, ila najipa jukumu la kuwa Mshauri wa Wagombea wote popote walipo. Ningetamani tuwe na Wabunge wenye Weledi, Upeo wa juu, Uchu wa maendeleo, Wazalendo, Wenye mikakati madhubuti ya kuitoa nchi hapa kwenda mbele zaidi..!
 
Unaanzisha ofisi ya kushauri wagombea ubunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…