Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Sawa mkuu sisi huku tuna air port, mataa ya barabarani na ofis kubwa za tra
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu sisi huku tuna air port, mataa ya barabarani na ofis kubwa za tra
Watu wanajua kila anaetoka mkoa wa mara ni mkurya mkuu.Mie Mzanaki,kila nikijitambusha kuwa mi ni mzanaki bado huwa wananiita Mkurya ingawa Mama yangu ni Mkurya na mama yake mama ni Mjaluo!-kiufupi uzao wangu umetokana na makabila halisi ya mkoa wa mara.
Kwa kweli huku nilipo sifa moja kubwa ni kuwa Naogopeka hata mtu akija kuongea nami anongea kwa step
Hahahahh sisi tuna mapanga mkuuSawa mkuu sisi huku tuna air port, mataa ya barabarani na ofis kubwa za tra
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu kwa kulitambua hilo mkuu mara mwanamke akiguswa nchi nzima inaripoti tofauti kabisa na tukio likitokea sehemu nyingneChangamoto zote mnazozisema zipo kila mahali na kwa kila kabila. Tena makabila yanayoongoza kunyanyasa wanawake zaidi ya wakurya ndiyo yapo mstari wa mbele kuwachafua wakurya.
Kifupi ni steriotype na ni mkakati wenye malengo ya muda mrefu. Hii ilitokana na MSIMAMO thabiti wa watu kutoka mara.
Sent using Jamii Forums mobile app
umenikumbusha mbali,kwenye familia yetu huo utaratibu ulikuwepo sasa siku usahau hizo fimbo zake utaomba uhame mjiLazima uamke usiku kabla baba hajaamka kwenda kumsalimia usipofanya hivyo jua kesi hiyo!
Watoto Ni lazima wajifunze Na kusalimia kwa kikurya!
Duh sijui nani alienzisha huku kuchafuanaNi kweli mkuu, tukio likitokea mara hata kama ni mtu kampiga mke wake hadi kupoteza fahamu litaripotiwa vyombo vyote vya habari ila likitokea tanga hauwezi kuskia.
sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Nenda kawatembelee muraNimekumbuka nyumbani Kebanchabancha, Serengeti...duuh
Lazima utaratibu uliopo uzingatiwewakurya hawapendi uonevu,nakumbuka nilipokuwa nasoma Mara sec kuna tulikuwa tunakula kwa kupanga msitari madishi yalikuwa hayajaletwa basi watu walikuwa wamepanga msitari kwenda kuchukua akaja jamaa moja wa kigoma huko alikuwa kiongozi akajifanya yeye kiongozi aka over take mbele ya Mkurya moja alikuwa anaitwa Mwita.
huyo Mwita akichukua jembe akamkata nalo kwenye paji la usoo
Nitakwenda yaani ntafika mpaka Machochwe
Kweli Mwita kiboko.wakurya hawapendi uonevu,nakumbuka nilipokuwa nasoma Mara sec kuna tulikuwa tunakula kwa kupanga msitari madishi yalikuwa hayajaletwa basi watu walikuwa wamepanga msitari kwenda kuchukua akaja jamaa moja wa kigoma huko alikuwa kiongozi akajifanya yeye kiongozi aka over take mbele ya Mkurya moja alikuwa anaitwa Mwita.
huyo Mwita akichukua jembe akamkata nalo kwenye paji la usoo
Pandisheni tena bendera ya chui kama mlivyofanya miaka ya nyuma muone cha moto,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmh sikweliMkurya uji anasema uchi.
Mwamhie aseme"uji wa moto'
Atasema"uchi wa moto"
Kwa wanawake;Leta sifa za wanawake mkuu