Tunaotoka mkoa wa mkoa wa MARA njoo hapa

Changamoto zote mnazozisema zipo kila mahali na kwa kila kabila. Tena makabila yanayoongoza kunyanyasa wanawake zaidi ya wakurya ndiyo yapo mstari wa mbele kuwachafua wakurya.

Kifupi ni steriotype na ni mkakati wenye malengo ya muda mrefu. Hii ilitokana na MSIMAMO thabiti wa watu kutoka mara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanajua kila anaetoka mkoa wa mara ni mkurya mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu kwa kulitambua hilo mkuu mara mwanamke akiguswa nchi nzima inaripoti tofauti kabisa na tukio likitokea sehemu nyingne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu, tukio likitokea mara hata kama ni mtu kampiga mke wake hadi kupoteza fahamu litaripotiwa vyombo vyote vya habari ila likitokea tanga hauwezi kuskia.

sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Duh sijui nani alienzisha huku kuchafuana
Ila watatuelewa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakurya hawapendi uonevu,nakumbuka nilipokuwa nasoma Mara sec kuna tulikuwa tunakula kwa kupanga msitari madishi yalikuwa hayajaletwa basi watu walikuwa wamepanga msitari kwenda kuchukua akaja jamaa moja wa kigoma huko alikuwa kiongozi akajifanya yeye kiongozi aka over take mbele ya Mkurya moja alikuwa anaitwa Mwita.
huyo Mwita akichukua jembe akamkata nalo kwenye paji la usoo
 
Lazima utaratibu uliopo uzingatiwe

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli Mwita kiboko.
 
Mkurya uji anasema uchi.
Mwamhie aseme"uji wa moto'
Atasema"uchi wa moto"
 
Leta sifa za wanawake mkuu
Kwa wanawake;
Kwanza wanamaumbo Fulani hivi ile tuseme African figure in short wamejaaliwa.

Wanajua sana kumnyenyekea mume
Ingawa nao sometimes wana roho Fulani ngumu ila walio wengi ukimpata Ni wife material hasa kwa maswala ya familia kiujumla.
Wengi wanatulia nyumbani ukimuoa hii inatokana Na kukeketwa Na misimamo ya kikabila lao kama mwanamke ukisumbua tu kwenye ndoa basi mumeo anakurudisha kwa wazazi wako kitu ambacho wao wanachukulia kama aibu Na fedheha kwa wazazi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…