Tunaowaita waheshimiwa nchini, tunawaita hivyo kwa kulazimishwa au kwa sababu wanafanya mambo yanayostahili waitwe hivyo?

Heshima ni neno la kawaida tu la kiswahili, lililotakona na neno la Kiarabu kuonyesha hadhi anayopewa mtu kama alama ya kuthaminiwa kwake. NI namna ya kumwonyeha mtu huyo kwamba utu wake una thamani, hasa kwa jinsi anavyoshughulika kuhusu watu wengine, kutia ndani matendo na kauli zake.

Kwa jinsi hiyo basi, heshima kuelekea mtu fulani sio jambo la kulazimishwa, ni jambo ambalo mtu hupata toka kwa watu wanaomthamini.

Sasa nikiangalia watu tunaowaita waheshimiwa hapa nchini, matendo yao, utu wao, kauli zao, jinsi wanavyoshughulikia watu wengine, kwa maoni yangu, naona labda ni 5% wanaostahili kuitwa waheshimiwa. Wengine wote wanaoitwa hiyo ni mapoyoyo watupu - wabinafsi, wenye kiburi, wenye dharau, waonevu, mafisadi, waongo, wauaji, wasiojali watu wengine, wenye kujiona miungu wadogo nk. Mengi ya haya wanayafanya mtu mmoja mmoja binafsi au kama kikundi. Wanapaswa kuona aibu kuitwa waheshimiwa, lakini nahisi hawana tena hisia ya aibu katika utu wao.

Sasa niambieni, kwa nini hawa watu tuwaite waheshimiwa? Mimi binafsi, neno mheshimiwa huwa silitamki kabisa kwa mtu yeyote Tanzania. Sitaki huo unafiki pale ninapoona mtu hastahili kuitwa mheshimiwa halafu mie nimuite mheshimiwa. Naepuka kwa kila namna mazingira yatakayonifanya nimwite mtu mheshimiwa.
hakuna haja ya kubabaika my friends ladies and gentlemen,

heshima ni kitu cha bure na salamu haigombwi..

ni muhimu wanaostahili wapewe maua yao bila chuki binafsi wala kinyongo,

ni hiyari tu ndrugu zangu, hakuna haja ya kujenga chuki au kujiskia vibaya kwasabb ati fulani anaitwa muheshimiwa.

By the way,
kazi na maisha Lazima yaendelee bila mbambamba ya mtu yeyote 🐒
 
hakuna haja ya kubabaika my friends ladies and gentlemen,

hakuna haja ya kujenga chuki au kujiskia vibaya kwasabb ati fulani anaitwa muheshimiwa.
Unapolazimisha nikuite Mheshimiwa wakati najua umejaa upumbavu mie nitakasirika!
 
Gentleman,
hakuna ulazima hata kidogo, na pia hakuna haja ya mihemko kwenye jambo dogo kama hili. Relax tu mungwana...

na wala hakuna haja ya chuki binafsi wala makasiriko endapo mtu mwingine akifanya tofauti na uonavyo wewe kwa mtu yule yule 🐒
 
Sawa nimekusikia. Nitajitahidi kuchukulia poa maisha yaendelee!
 
Heshima ni neno la kawaida tu la kiswahili, lililotakona na neno la Kiarabu kuonyesha hadhi anayopewa mtu kama alama ya kuthaminiwa kwake. NI namna ya kumwonyeha mtu huyo kwamba utu wake una thamani, hasa kwa jinsi anavyoshughulika kuhusu watu wengine, kutia ndani matendo na kauli zake.

Kwa jinsi hiyo basi, heshima kuelekea mtu fulani sio jambo la kulazimishwa, ni jambo ambalo mtu hupata toka kwa watu wanaomthamini.

Sasa nikiangalia watu tunaowaita waheshimiwa hapa nchini, matendo yao, utu wao, kauli zao, jinsi wanavyoshughulikia watu wengine, kwa maoni yangu, naona labda ni 5% wanaostahili kuitwa waheshimiwa. Wengine wote wanaoitwa hiyo ni mapoyoyo watupu - wabinafsi, wenye kiburi, wenye dharau, waonevu, mafisadi, waongo, wauaji, wasiojali watu wengine, wenye kujiona miungu wadogo nk. Mengi ya haya wanayafanya mtu mmoja mmoja binafsi au kama kikundi. Wanapaswa kuona aibu kuitwa waheshimiwa, lakini nahisi hawana tena hisia ya aibu katika utu wao.

Sasa niambieni, kwa nini hawa watu tuwaite waheshimiwa? Mimi binafsi, neno mheshimiwa huwa silitamki kabisa kwa mtu yeyote Tanzania. Sitaki huo unafiki pale ninapoona mtu hastahili kuitwa mheshimiwa halafu mie nimuite mheshimiwa. Naepuka kwa kila namna mazingira yatakayonifanya nimwite mtu mheshimiwa.
Kuitwa Dr/prof/CPA /Wakili msomi/ Ata wewe unaweza itwa kama ulikimbia umande🤣kaa kwa kutulia wenzako wamesoma wamefanya tafiti wamepiga thesis wamekula titles before their names
 
kuna mazingira neno mheshimiwa tulinatumia kama rushwa mkuu ili mambo yaende chap
 
Kuitwa Dr/prof/CPA /Wakili msomi/ Ata wewe unaweza itwa kama ulikimbia umande🤣kaa kwa kutulia wenzako wamesoma wamefanya tafiti wamepiga thesis wamekula titles before their names
I say wewe ndio uko totally confused, na ni wazi ni nani kati yetu alikimbia umande! Tunaongelea watu kuitwa waheshimiwa pasipokuwa na sifa za uheshimiwa, wewe unaongelea watu kuitwa Dr/prof/CPA /Wakili msomi na kudokeza mimi nilikimbia umande ndio maana siitwi hivyo? Nani kaongelea mambo ya mtu kuitwa hizi sifa za Dr/prof/CPA /Wakili msomi? Hivi unafikiri uheshimiwa ni sifa ya kusomea kama Dr/prof/CPA /Wakili msomi? Yaani hata hili hujui? Wewe ndio watu wenye IQ ndogo sana niliosema nawahurumia sana.
 
kuna mazingira neno mheshimiwa linatumika kama rushwa
Umegundua eeh! Ni sawa na kumsifia mwanamke ili umpate! Hawa waheshimiwa wamekuwa machangudoa kabisa wa hili neno, mwite mheshimiwa tu basi analainika anatoa 😀😀
 
Heshima ni neno la kawaida tu la kiswahili, lililotakona na neno la Kiarabu kuonyesha hadhi anayopewa mtu kama alama ya kuthaminiwa kwake. NI namna ya kumwonyeha mtu huyo kwamba utu wake una thamani, hasa kwa jinsi anavyoshughulika kuhusu watu wengine, kutia ndani matendo na kauli zake.

Kwa jinsi hiyo basi, heshima kuelekea mtu fulani sio jambo la kulazimishwa, ni jambo ambalo mtu hupata toka kwa watu wanaomthamini.

Sasa nikiangalia watu tunaowaita waheshimiwa hapa nchini, matendo yao, utu wao, kauli zao, jinsi wanavyoshughulikia watu wengine, kwa maoni yangu, naona labda ni 5% wanaostahili kuitwa waheshimiwa. Wengine wote wanaoitwa hiyo ni mapoyoyo watupu - wabinafsi, wenye kiburi, wenye dharau, waonevu, mafisadi, waongo, wauaji, wasiojali watu wengine, wenye kujiona miungu wadogo nk. Mengi ya haya wanayafanya mtu mmoja mmoja binafsi au kama kikundi. Wanapaswa kuona aibu kuitwa waheshimiwa, lakini nahisi hawana tena hisia ya aibu katika utu wao.

Sasa niambieni, kwa nini hawa watu tuwaite waheshimiwa? Mimi binafsi, neno mheshimiwa huwa silitamki kabisa kwa mtu yeyote Tanzania. Sitaki huo unafiki pale ninapoona mtu hastahili kuitwa mheshimiwa halafu mie nimuite mheshimiwa. Naepuka kwa kila namna mazingira yatakayonifanya nimwite mtu mheshimiwa.
Nafasi zao , hata BAMBO, KINGWENDU wakipata teuzi tittle inabadilika Toka comedian to Mheshimiwa, rejea bkwa ndugu MCHOPANGA MCHOPA
 
I say wewe ndio uko totally confused, na ni wazi ni nani kati yetu alikimbia umande! Tunaongelea watu kuitwa waheshimiwa pasipokuwa na sifa za uheshimiwa, wewe unaongelea watu kuitwa Dr/prof/CPA /Wakili msomi na kudokeza mimi nilikimbia umande ndio maana siitwi hivyo? Nani kaongelea mambo ya mtu kuitwa hizi sifa za Dr/prof/CPA /Wakili msomi? Hivi unafikiri uheshimiwa ni sifa ya kusomea kama Dr/prof/CPA /Wakili msomi? Yaani hata hili hujui? Wewe ndio watu wenye IQ ndogo sana niliosema nawahurumia sana.
Kujitetea sana ni ishara ya udhaifu mkuu! Una matatizo wewe! Unaumia nini Sasa mtu akiitwa mheshimiwa?
 
Nafasi zao , hata BAMBO, KINGWENDU wakipata teuzi tittle inabadilika Toka comedian to Mheshimiwa, rejea bkwa ndugu MCHOPANGA MCHOPA
Kwa hiyo kama hili neno limewekwa kwa ajili ya nafasi zao, wengine wote sio waheshimiwa? Kwa mfano, tuchukulie Makamu Mkuu wa UDSM Prof. Anangisye? Mkurugenzi wa Muhimbili Prof. Janabi CEO wa TANAPA? Mwenyekiti wa Chadema Mbowe?

Niambie kitu gani kinamfanya mtu kama Mbunge Msukuma kuwa Mheshimiwa na sio Mkurugenzi wa Muhimbili Prof. Janabi?

Au je, uheshimiwa wa mbunge Msukuma unapaswa ufanye mimi nisionwe na jamii kama mheshimiwa japo mchango wangu mkubwa katika jamii kama mtu tu wa kawaida?
 
Utakuta na wewe unaitwa mheshimiwa? Basi mfano mzuri ni wewe. Maneno machafu lakini unataka watu wakuite mheshimiwa!
Sasa kuna mheshimiwa mmoja nimemuona leo toka viti maalum toka kanda ya matoke alivyo vaa tu kama muuzaji na slanging fulani hivi nae aitwe muheshimiwa?
 
Kujitetea sana ni ishara ya udhaifu mkuu! Una matatizo wewe! Unaumia nini Sasa mtu akiitwa mheshimiwa?
Kwa sababu sio waheshimiwa, wanafanya mambo yasiyostahili kuitwa waheshimiwa kwa nini huelewi? Hujasikia wengine wameingilia kinyume cha maumbile wasichana kwenye magari ya serikali, uko wapi wewe?
 
Aah Sawa mkuu umeeleweka
 
Kwani wanafanya mambo gani

Back
Top Bottom