Tunaowaita waheshimiwa nchini, tunawaita hivyo kwa kulazimishwa au kwa sababu wanafanya mambo yanayostahili waitwe hivyo?

Mh ninatumika zaidi kwa nafasi za kawaida za uteuzi, siasa, ila kwa professional, mh Very rare!!

Academic titles zao zinatosha Prof, Dr,Advocate...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…