Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Mh ninatumika zaidi kwa nafasi za kawaida za uteuzi, siasa, ila kwa professional, mh Very rare!!Kwa hiyo kama hili neno limewekwa kwa ajili ya nafasi zao, wengine wote sio waheshimiwa? Kwa mfano, tuchukulie Makamu Mkuu wa UDSM Prof. Anangisye? Mkurugenzi wa Muhimbili Prof. Janabi CEO wa TANAPA? Mwenyekiti wa Chadema Mbowe?
Niambie kitu gani kinamfanya mtu kama Mbunge Msukuma kuwa Mheshimiwa na sio Mkurugenzi wa Muhimbili Prof. Janabi?
Au je, uheshimiwa wa mbunge Msukuma unapaswa ufanye mimi nisionwe na jamii kama mheshimiwa japo mchango wangu mkubwa katika jamii kama mtu tu wa kawaida?
Academic titles zao zinatosha Prof, Dr,Advocate...