Sasa hivi mtaalam
LIKUD ataendelea kumbana popoma kwenye kona na kumpa za uso nyingi.
Kinachofata kiko wazi, popoma ataanza (ameshaanza) kuporomosha mvua ya matusi ili mods wamuokoe kwa kumpa ban.
Then akishapigwa ban anakuja kimyakimya na ile ID ya
MINOCYCLINE hadi watu wasahau kipondo cha leo