House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

nyumba ipo KIBEBERU mkuu, yaani ukishapita nyangasa unakutana na njia kama za kwenda PANDE...
Okay eneo hilo sipajui vzuri nimekuwa suprised na bei iko chini sana. Itakuwa ni mbali kiasi.
 
Hii kitu imemsumbua sana mjomba wangu...kanunua nyumba maeneo ya Boko hailaliki kabisa.
Poleni sana.
Nyumba nzuri ni ya kujenga mwenyewe.
Ardhi zina mambo mazito hasa unapokuta kuna mgogoro wa ndugu /familia usinunue.
 
Ipo mbali sana hiyo nyumba mkuu,kitunda ni kijijini huwezi kuchaji bei hiyo maana kwanza wakuriya wamejaa usalama ni mdogo!Punguza Bei.
 
HIZI NYUMBA HIZI SINA HELA NINGEKUA NAYO NINGENUNUA ILA KWA DAR KUEN MAKIN UNAWEZA KUTA MFUKO MMOJA ZILIKUA ZINATOKA TOFALI 75 lain zaid ya biskuti mzeee
Maelezo yako kwa upande mmoja ni sahihi lakini umakini ni zaidi kwa nyumba mpya lakini sio kama hiyo ambayo imetumika. Kwa nyumba kama hiyo unajua kabisa mwenyewe alijenga ili afanye makazi yake kwahiyo haiwezi kuwa mjinga kiasi hicho. Lakini zile mpya ambazo zinapatikana sana Chamanzi, zile ndo unatakiwa kuwa makini zaidi kwa sababu wale jamaa wanajenga ili wauze, na ili ku-maximize profit, wanabana malighafi za ujenzi.
 
Wauzaji wa nyumba wangelikuwa wanatupatia walau siku Tatu kulala ili tujiridhishe kama hakuna mauzauza pindi tutakaponunua nyumba hizo.
Mauzauza yanawezakusogeza mbele muda wa kuanza mashindano ya CHAN
 
Huwa nashangaa Sana watu wanaonunua nyumba kwa ajili ya kuishi na familia zao. Pesa ya kununulia hiyo nyumba... Jenga ... Kama Ni nyumba ya kuishi wewe na familia yako. Kama Ni kwa ajili ya Biashara.... Ni swala Tofauti.
Hii kitu imemsumbua sana mjomba wangu...kanunua nyumba maeneo ya Boko hailaliki kabisa.
 
hivi unaenda kujenga nyumba kitunda kote huko, ulikuwa unatafuta nini? ona sasa hata kuuza unashindwa. fikirieni kabla ya kujenga.
 
Sidhan kama dar kuna kijijini mkuu, ninavyojua ni kuwa kuna nje ya mji mfano, CHANIKA, chamazi, Kibamba etc.
Duh kibamba ni kijijini kwa hiyo kibaha si itakuwa ndio sijui nn. Kibamba ni km 5 kutoka stendi mpya ya mbezi sio kijijini
 
Duh kibamba ni kijijini kwa hiyo kibaha si itakuwa ndio sijui nn. Kibamba ni km 5 kutoka stendi mpya ya mbezi sio kijijini
Na kitunda ni KM 8 kutoka Airport hivyo na kwenyewe sio kijijini.

NB kinacho angaliwa ni Halmashauri inasemaje na si umbali.
20210205_171525.jpeg
 
Back
Top Bottom