Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 4,672
- 9,806
Hiyo nyumba ina changamoto gani!?Kodi imepungua kidogo
200,000-180,000tsh
Weka wazi anayetaka kuhamia ajipange...maana sio kwa unafuu huo wa bei.
Unaporomosha bei mpaka inatia shaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo nyumba ina changamoto gani!?Kodi imepungua kidogo
200,000-180,000tsh
Amen.Cha muhimu uzima tu mkuu!
Mengine ni mipango ya mungu.
Kha!kha!kha!,ila upo sahihiWauzaji wa nyumba wangelikuwa wanatupatia walau siku Tatu kulala ili tujiridhishe kama hakuna mauzauza pindi tutakaponunua nyumba hizo.
Wapangaji hawalalamiki?Kuna ndugu yangu alinunua nyumba na hela ya kustaafu akaingia nyumba kila siku watoto kuumwa mkewe kuumwa waganga na waumin wamemgeuza mgodi ss ivi kaamua kupangisha nyumba nzuri lakin anapangisha bei ndogo
Unapenda uzinzi enhh???Chakula hicho[emoji13][emoji13]
Ndugu Dalali picha ya binti pleaseNyumba anakaa mtu mmoja, ila kuna kachumba upande wa uani ndio anakaa binti wa mwenye nyumba.
Masha AllahNyumba inapatikana kitunda Relini 5km kutoka Airport
Kutoka lami ni dakika 3 (kwa mwendo wa mguu)
Ina chumba kimoja ambacho ni self-contained.
Ina seating room
Open kitchen
Full ac
Wapangaji wawili tu.
( kutoka posta/kivukoni, gerezani (k.koo), mnazi mmoja, machinga complex kwa usafiri wa daladala ni gari moja unapanda.
KODI NI tsh 200,000/ (kwa mwezi)
Malipo ni kuanzia miezi mitatu.
Mawasiliano: 0785 857564
Chakula hicho[emoji13][emoji13]
Toa locationHabari za majukumu wanajukwaa
Nyumba ina vyumba vinne
Ina seating room pamoja na dinning room
Ina public toilet.
Full tiles, gypsum
Ina feni vyumba vyote.
Maji + umeme √
Car parking √
Location: nyumba ipo kitunda (Kibeberu)
Kodi imepungua kutoka 200k hadi 170k
Malipo ni kuanzia miezi 3+
Umbali kutoka stand ya daladala ni dakika 2-3
Kwa mhitaji tuwasiliane: 0785 857564
View attachment 1681638View attachment 1681639View attachment 1681640View attachment 1681641View attachment 1681642View attachment 1681643View attachment 1681644
HIZI NYUMBA HIZI SINA HELA NINGEKUA NAYO NINGENUNUA ILA KWA DAR KUEN MAKIN UNAWEZA KUTA MFUKO MMOJA ZILIKUA ZINATOKA TOFALI 75 lain zaid ya biskuti mzeeeAvailable
Hii nyumba bado ipo boss?Nyumba imeshuka bei kutoka 50m hadi 45m
Maelezo:
Nyumba inapatikana Kitunda (manispaa ya Ilala)
Umbali wa km 7 kutoka airport.
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala
Sebule, jiko, store, na choo cha ndani.
Maji na umeme vipo tayari
Nyumba ipo ndani ya fensi
Nyumba ya pili kutoka Barabara ya mtaa.
NYUMBA: Ina leseni ya makazi na eneo limesharasimishwa tayari (beacon zimeshapandikizwa)
Bei: 45m
More information: 0785 857564
View attachment 1511599View attachment 1511600View attachment 1511601View attachment 1511602View attachment 1511603View attachment 1511605View attachment 1511606View attachment 1511608