Tzhacker 000
JF-Expert Member
- Dec 11, 2017
- 659
- 689
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko si ndio kuna kituo kinaitwa kontena?
😄 😄 😄 😄 😄 😄 😄 😄 😄 😄 😄 😄 😄 hii comment imenifanya nicheke kwa nguvu.Ninalakitatumiminiyatima
Hiyo nyumba bei yake ni halisi na wala siyo kubwa. Sema watu hawana hela!!
Bei ya Kiwanja cha ukubwa wa mita za mraba 1005
Bei ya matofali yaliyojengea
Bei ya mabati na uezekaji
Bei ya Tiles
Bei ya Madirisha na milango
Bei ya Gypsum Boards
Gharama za ujenzi
Nilicho gundua wengi humu ni watoto sana, wanaposti ujinga ujinga cause ni kula kulalaKama ulicho comment ndio ufahahamu wako basi unasafari ndefu sana kwenye maisha yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
umewahi kujenga au kusimamia ujenzi kwa gharama zako? Kama ungekuwa umewahi usingelisema hilo maana hiyo ni bei ya kujengea hiyo nyumbaUkipata mteja wa 25M usiache chukua na usigeuke nyuma.Otherwise utakuja kuuza kwa 15M huko mbeleni.
umewahi kujenga au kusimamia ujenzi kwa gharama zako? Kama ungekuwa umewahi usingelisema hilo maana hiyo ni bei ya kujengea hiyo nyumba
Umenikumbusha kipindi nasoma, nilikuwa nimepanga geto ubungo, basi mwenye nyumba akinizingua namwambia hata sisi tuna majumba tena makubwa hiki chako ni stoo, twende kwetu nikakuoneshe...Kumbe kwetu hata jiko hatumiliki, tunakaa nyumba ya kupanga.Njoo home nikuoneshe mijengo ninayomiliki.Mm sio kula kulala aisee.
Umenikumbusha kipindi nasoma, nilikuwa nimepanga geto ubungo, basi mwenye nyumba akinizingua namwambia hata sisi tuna majumba tena makubwa hiki chako ni stoo, twende kwetu nikakuoneshe...Kumbe kwetu hata jiko hatumiliki, tunakaa nyumba ya kupanga.