Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo 15m kiwanja tu hupati??Ukipata mteja wa 25M usiache chukua na usigeuke nyuma.Otherwise utakuja kuuza kwa 15M huko mbeleni.
Sijui watu wanataka nyumba ziwe zinauzwa Milioni moja?Hiyo 15m kiwanja tu hupati??
Kama ulicho comment ndio ufahahamu wako basi unasafari ndefu sana kwenye maisha yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante ila hukajibu kuhusu alipo mmiliki. Pia kwa hali ya noti kwa sasa kuuza asset ya thamani kama nyumba na viwanja/mashamba ni mtihani sana. Hiyo nyumba yawezekana kweli ni 55m ila kumpata mteja si kazi ndogo.Nyumba iko kwenye mtaa, ni nyumba ya tatu kutoka barabarani, gari hata scania inaingia mpaka ndani. (Parking ya kutosha)
Kutoka main road ya nyerere ndio km 5.
Kutoka kitunda shule ni 1.5km
Sent using Jamii Forums mobile app
Dalali kaweka cha juu 1mTangazo zuri ila mkuu bei haijulikani sasa. Kichwa cha habari 15m ndani ya habari 16m.
Ningenunua ila huko kuna ex wangu na sitapenda kumuonaNyumba inapatikana PUGU
1km kutoka lami ya kwenda CHANIKA
NYUMBA ina vyumba vitatu (kimoja ni self-contained), jiko, sebule na sitting room
Wiring imeshafanyia na nguzo ya kuingiza umeme ndani ipo pembeni
Eneo la nyumba ni meter 14*10
Gari inafika hadi kibarazani. (Parking ndio hakuna)
Mawasiliano: 0785 857564
Bei: 15m
View attachment 1411700View attachment 1411701View attachment 1411702View attachment 1411703View attachment 1411704View attachment 1411705View attachment 1411706
Sent using Jamii Forums mobile app
miwa si unaing'oa tu mkuu simplekamwe usithubutu kununua nyumba iliyo karib na 'miwa', iyo ni creek moja matata sana