House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

Sio siri mkuu, sasa hapo tofali ilipofikia halafu mtu anaibwenga si hatari kubwa.
Halahala isije kuwa pana jini kisirani! au amejenga kwa hela za dhulumati na wenyewe wamemkamia!
Vinginevyo anaamua kuhama mji ki-aina
 
Kwa kawaida kuku hulala bandani. Hiyo inatosha kabisa kujenga na kuhamia kuku.
Nakataa, kwa mikoani hasa Morogoro unajenga Nyumba kwa milion 4 ya tofali za kuchoma na unaweka bati na madirisha na sakafu yako fresh unaishi.
.
Tena ikifika M14 hiyo inakuwa ya kifahari sasa maana itakuwa na tinted, malumalu, na kila kitu!.
.
Nyie mmezoea kupigwa yani hiyo miliom 14 unakuta nyumba haijafika hata usawa wa madirisha imeisha watu tinabakiwa hadi na chenchi nikikuonyesha nyumba niliyojenga kwa M10 haki ya Mungu utasema nimetumia M70
 
Unajua kwamba hesabu ya vitu vyote ulivyoorodhesha haifiki 6 M? Acha dharau hilo boma ni chini ya 8M.
Yani mkuu kumbe kuna watu wanajifanya wajanja mjini kumbe wanapigwa vibaya sana, yani M14 Morogoro unajenga jumba la kifahari
 
Acha uzwazwa wewe Kila mtu angekuwa na nyumba mjini
Wewe unataka kila mmoja awe na nyumba yenye tiles, msouth, na kila aina ya urembo kwa wakati mmoja, sisi wenye maisha ya kawaida tunajenga mdogo mdogo
 
Nakataa, kwa mikoani hasa Morogoro unajenga Nyumba kwa milion 4 ya tofali za kuchoma na unaweka bati na madirisha na sakafu yako fresh unaishi.
.
Tena ikifika M14 hiyo inakuwa ya kifahari sasa maana itakuwa na tinted, malumalu, na kila kitu!.
.
Nyie mmezoea kupigwa yani hiyo miliom 14 unakuta nyumba haijafika hata usawa wa madirisha imeisha watu tinabakiwa hadi na chenchi nikikuonyesha nyumba niliyojenga kwa M10 haki ya Mungu utasema nimetumia M70
Mkuu hii ni jf, mtu anakwambia kujenga nyumba ya nzuri unatakiwa uwe na mil 100+
Anayesema hivyo yupo kwenye nyumba ya kupanga [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu hii ni jf, mtu anakwambia kujenga nyumba ya nzuri unatakiwa uwe na mil 100+
Anayesema hivyo yupo kwenye nyumba ya kupanga [emoji23][emoji23][emoji23]
kwa kweli, yani watu wanajikuta wana fedha wakati kamshahara kake ni 500K anaona M14 ni fedha ndogo wakati watu wakiwa nayo hiyo mjengo atakaoutoa unanyoosha mikono juu
 
JF uwezi kosa mipasho na taarabu thread yeyote utakayofungua lazima ukute ( watu wa mipasho na taarabu)

Bongo nyoso sana
 
hilo ni banda sio "nyumba".....au unatumia kigezo kuwa nyumba hujengwa kwa tofali na hapo tofali zimetumika kwa hiyo hilo banda ni nyumba?fikiri tena ninayo taslimu 7m
 
Nyumba inapatikana PUGU (kigogo fresh)
Eneo lenye nyumba (KIWANJA ) ni sqm 540 (27*20)
Ramani ya nyumba yenye vyumba vitatu, jiko, choo cha pamoja na sebule
Kutoka barabara ya lami ni meter 1.4km
Miundo mbinu yote inapatikana (barabara, Maji na umeme)
Bei: 14m
More information: 0756 832833

View attachment 1159442View attachment 1159444

Kwa hizi nyasi zilivyokolea na ukijani wake,bila shaka hapo masika ni bwawa la samaki
 
Nyumba inapatikana PUGU (kigogo fresh)
Eneo lenye nyumba (KIWANJA ) ni sqm 540 (27*20)
Ramani ya nyumba yenye vyumba vitatu, jiko, choo cha pamoja na sebule
Kutoka barabara ya lami ni meter 1.4km
Miundo mbinu yote inapatikana (barabara, Maji na umeme)
Bei: 14m
More information: 0756 832833

View attachment 1159442View attachment 1159444
Unaonaje tangazo likisomeka "nyumba ambayo haijaisha" badala ya "nyumba isiyoisha"?
 
Nakataa, kwa mikoani hasa Morogoro unajenga Nyumba kwa milion 4 ya tofali za kuchoma na unaweka bati na madirisha na sakafu yako fresh unaishi.
.
Tena ikifika M14 hiyo inakuwa ya kifahari sasa maana itakuwa na tinted, malumalu, na kila kitu!.
.
Nyie mmezoea kupigwa yani hiyo miliom 14 unakuta nyumba haijafika hata usawa wa madirisha imeisha watu tinabakiwa hadi na chenchi nikikuonyesha nyumba niliyojenga kwa M10 haki ya Mungu utasema nimetumia M70
Hiyo nyumba ya milioni 4 inakuwa na ukubwa gani?

Hebu niambie kwanza gharama za paa tu la kawaida kwa maana ya mabati, mbao, misumari na gharama za fundi labda naweza kujua nabishana na nani. Kumbuka mi naulizia paa tu!!

Tukitoka hapo ntakuuliza nyumba itatumia tofali ngapi na bei yake ikoje. Hayo madirisha/milango uniambie ni bei gani. Hapo umetaja tinted nikitafsiri ni aluminium frem na kioo chake... uniambie dirisha moja bei yake na madirisha yako mangapi...

Niishie kwanza hapo nione hilo bulungutu lako la milioni nne linavyoweza kujenga nyumba na wala sio choo
 
Back
Top Bottom