Security Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 299
- 388
Au mbavu za mbwa
ya tope!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ya tope!!!!
sorry nguzo ya umeme iko ndan au nje?Bado ipo
Halahala isije kuwa pana jini kisirani! au amejenga kwa hela za dhulumati na wenyewe wamemkamia!Sio siri mkuu, sasa hapo tofali ilipofikia halafu mtu anaibwenga si hatari kubwa.
Acha uzwazwa wewe Kila mtu angekuwa na nyumba mjiniNyumba tena nzuri, nyie ndio mnatisha watu wasijenge
Nakataa, kwa mikoani hasa Morogoro unajenga Nyumba kwa milion 4 ya tofali za kuchoma na unaweka bati na madirisha na sakafu yako fresh unaishi.Kwa kawaida kuku hulala bandani. Hiyo inatosha kabisa kujenga na kuhamia kuku.
Yani mkuu kumbe kuna watu wanajifanya wajanja mjini kumbe wanapigwa vibaya sana, yani M14 Morogoro unajenga jumba la kifahariUnajua kwamba hesabu ya vitu vyote ulivyoorodhesha haifiki 6 M? Acha dharau hilo boma ni chini ya 8M.
ha unashangaa kila ukilala bakora tuHalahala isije kuwa pana jini kisirani! au amejenga kwa hela za dhulumati na wenyewe wamemkamia!
Vinginevyo anaamua kuhama mji ki-aina
Wewe unataka kila mmoja awe na nyumba yenye tiles, msouth, na kila aina ya urembo kwa wakati mmoja, sisi wenye maisha ya kawaida tunajenga mdogo mdogoAcha uzwazwa wewe Kila mtu angekuwa na nyumba mjini
Mkuu hii ni jf, mtu anakwambia kujenga nyumba ya nzuri unatakiwa uwe na mil 100+Nakataa, kwa mikoani hasa Morogoro unajenga Nyumba kwa milion 4 ya tofali za kuchoma na unaweka bati na madirisha na sakafu yako fresh unaishi.
.
Tena ikifika M14 hiyo inakuwa ya kifahari sasa maana itakuwa na tinted, malumalu, na kila kitu!.
.
Nyie mmezoea kupigwa yani hiyo miliom 14 unakuta nyumba haijafika hata usawa wa madirisha imeisha watu tinabakiwa hadi na chenchi nikikuonyesha nyumba niliyojenga kwa M10 haki ya Mungu utasema nimetumia M70
kwa kweli, yani watu wanajikuta wana fedha wakati kamshahara kake ni 500K anaona M14 ni fedha ndogo wakati watu wakiwa nayo hiyo mjengo atakaoutoa unanyoosha mikono juuMkuu hii ni jf, mtu anakwambia kujenga nyumba ya nzuri unatakiwa uwe na mil 100+
Anayesema hivyo yupo kwenye nyumba ya kupanga [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaanikwa kweli, yani watu wanajikuta wana fedha wakati kamshahara kake ni 500K anaona M14 ni fedha ndogo wakati watu wakiwa nayo hiyo mjengo atakaoutoa unanyoosha mikono juu
mtaibiwa sanaKwa kawaida kuku hulala bandani. Hiyo inatosha kabisa kujenga na kuhamia kuku.
Nyumba inapatikana PUGU (kigogo fresh)
Eneo lenye nyumba (KIWANJA ) ni sqm 540 (27*20)
Ramani ya nyumba yenye vyumba vitatu, jiko, choo cha pamoja na sebule
Kutoka barabara ya lami ni meter 1.4km
Miundo mbinu yote inapatikana (barabara, Maji na umeme)
Bei: 14m
More information: 0756 832833
View attachment 1159442View attachment 1159444
Unaonaje tangazo likisomeka "nyumba ambayo haijaisha" badala ya "nyumba isiyoisha"?Nyumba inapatikana PUGU (kigogo fresh)
Eneo lenye nyumba (KIWANJA ) ni sqm 540 (27*20)
Ramani ya nyumba yenye vyumba vitatu, jiko, choo cha pamoja na sebule
Kutoka barabara ya lami ni meter 1.4km
Miundo mbinu yote inapatikana (barabara, Maji na umeme)
Bei: 14m
More information: 0756 832833
View attachment 1159442View attachment 1159444
Kwani nguzo za umeme kwenye makazi ya watu zinafuata barabara?hio nguzo hapo vipi, si ni kwamba nyumba iko barabarani kabisa
Nani amwibie injinia kwenye mambo ya kiinjinia?mtaibiwa sana
Hiyo nyumba ya milioni 4 inakuwa na ukubwa gani?Nakataa, kwa mikoani hasa Morogoro unajenga Nyumba kwa milion 4 ya tofali za kuchoma na unaweka bati na madirisha na sakafu yako fresh unaishi.
.
Tena ikifika M14 hiyo inakuwa ya kifahari sasa maana itakuwa na tinted, malumalu, na kila kitu!.
.
Nyie mmezoea kupigwa yani hiyo miliom 14 unakuta nyumba haijafika hata usawa wa madirisha imeisha watu tinabakiwa hadi na chenchi nikikuonyesha nyumba niliyojenga kwa M10 haki ya Mungu utasema nimetumia M70