House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

Mbona bei ya kutupa au hailaliki na mambo ya African chemistry [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 si afadhali Chemistry ni rahisi,mie naona itakua na African Physics..ndio mambo yote,huku JF kuna vituko sana...
 
Salaam,
Nyumba inapatikana UKONGA (kitunda)
Umbali wa km 5 kutoka nyerere road
MAELEZO
nyumba ina vyumba vitatu (1self contained)
Dinning room, seating room, kitchen, store, & public toilet.
Eneo lake ni sqm 480
Eneo tayari limeshapimwa.
Maji na umeme tayari
With Tiles & gypsums
Price 25m

Call: 0756 832833



View attachment 1121698View attachment 1121699View attachment 1121700View attachment 1121701View attachment 1121703View attachment 1121705
Una huakika ni ya kisasa
 
Sema ukweli yawezekana ni wale waliofidiwa kuhama kupisha Airport zitabomolewa japo siku kamili haijajulikana. mdau kuwa wazi kumbuka vitambulisho vya NIDA vya sasa hutakwepa iwapo pana udanganyifu hapo hata baada ya 10 yrs unaweza kujikuta uko mahakamani kwa udandanyifu, na anaenunua achukue ushahidi huu wa hili tangazo.

Samahani sana kama nimemkwaza mtu, ni ktk kutahadharisha tu maovu yasitokee.
 
Salaam,
Nyumba inapatikana UKONGA (kitunda)
Umbali wa km 5 kutoka nyerere road
MAELEZO
nyumba ina vyumba vitatu (1self contained)
Dinning room, seating room, kitchen, store, & public toilet.
Eneo lake ni sqm 480
Eneo tayari limeshapimwa.
Maji na umeme tayari
With Tiles & gypsums
Price 25m

Call: 0756 832833



View attachment 1121698View attachment 1121699View attachment 1121700View attachment 1121701View attachment 1121703View attachment 1121705
Kitunda ipo km 5 kutoka nyerere rd mkuu
 
kutoka nyerere road (old pugu road) mpaka kitunda ni 3.5km (inapoishia lami)
Kama una data sahihi zaidi unaweza kuziweka kwa faida ya wengine pia.
Tuambie mkuu unaingilia wapi kitokea pugu rd mpaka inaipata hiyo kitunda. Unaingilia airport au banana?
 
Nyumba inapatikana PUGU (kigogo fresh)
Eneo lenye nyumba (KIWANJA ) ni sqm 496 (27*17)
Ramani ya nyumba yenye vyumba vitatu, jiko, choo cha pamoja na sebule
Kutoka barabara ya lami ni meter 1km
Miundo mbinu yote inapatikana (barabara, Maji na umeme)
Bei: 14m
More information: 0756 832833


IMG-20190722-WA0022.jpeg
IMG-20190722-WA0024.jpeg
 
Back
Top Bottom