Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
None... Nawasaidia wateja wengine naona wamekaushia uzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
None... Nawasaidia wateja wengine naona wamekaushia uzi.
Mitaa nyumba ipo ni Uswazi sanaa, sio kama 77Duu kuna ukweli hapa? Ndo kusema huko ukonga wanakaa malofa sana mpaka nyumba ya qualities hizo ipangishwe kwa laki 2?
From inKiwanja kinapatikana wilaya ya ilala, jimbo la UKONGA.
Umbali wa 7km kutoka banana (nyerere road/old pugu ROAD)
Kiwanja kipo Kivule stand ya zamani.
Umbali wa meter 400 kutoka barabara kuu inayotajiwa kuwekwa lami ya Kivule.
Ukubwa wa KIWANJA ni sqm 440 (22*20)
Bei ni 7m (neg)
More information: 0756 832833
View attachment 1083361View attachment 1083362
Hiyo ni lazima kuitilia shaka, maana inaweza kuwa ya kibudu.Of course haturidhiki lakini nimebaki kinywa wazi, say ningekuta laki 5 at least huo mshangao nisingekuwa nao. Ni sawa na siku nilikuta supu ya nyama ya 500 pale Sikonge. Sikula Mimi!!!
Kawaida mzee
Nenda mikocheni, Mbezi beach, masaki huko ndio utashangaa zaidi nadhan..chumba kimoja mpaka 200k inafika.
Sasa cha kushangaza hapo ni nini? au bei ndogo?Yaan vyumba viwili Ndo 250k kwa mwezi!??
Sasa cha kushangaza hapo ni nini? au bei ndogo?
Utakua unamaanisha elfu 25 per mwezi wewe,acheni uvumi wa majumba makibwa ya kisasa ya watu na ninyi mnayabeba kuwajaribu watu ili muone kama mtabahatisha.madalali bwana!!Salaam,
Nyumba inapatikana, Ubungo Riverside (kituo kimoja kutoka Ubungo mataa)
NYUMBA ipo umbali wa mita 500 kutoka Mandela road (mwendo wa dakika 4 kutoka stand)
Nyumba ina vyumba viwili kimoja ni self contained.
Gypsums na shunter windows
Floor ni tarazo.
Iko ndani ya fensi.
KODI: 250k (per month ×6)
More details : 0756 832833
View attachment 1113506View attachment 1113511View attachment 1113508View attachment 1113509View attachment 1113510View attachment 1113512
Angeshangaa nyumba kwa bei hiyo! ila sio vyumba viwili kwa bei hiyo! tafuteni pesa acheni kulia lia, sasa agekuja kwenye compound yangu vyumba viwili kwa 500,000 si angezimia kabisa.Bei kubwa sana maeneo hayo wewe.
Halafu wewe ni dalali kabisa unajifanya huna experience!!!
Tazama nyumba yenyewe, quality yake local sana. Cheki madirisha!!
Angeshangaa nyumba kwa bei hiyo! ila sio vyumba viwili kwa bei hiyo! tafuteni pesa acheni kulia lia, sasa agekuja kwenye compound yangu vyumba viwili kwa 500,000 si angezimia kabisa.