House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

House4Rent Tunapangiasha na kuuza Nyumba na majengo Tanzania

Kitendo cha kuuza hili boma kwa 40m ( could still be negotiable) kinawapa mashaka wananzengo juu ya ubora na uimara wa msingi na boma lenyewe kwa ujumla... tena naona kama liko kwenye slope, bado gharama za kiwanja (1200sqm, surveyed, in Dar)

This price is unreasonably low..

Sent using Jamii Forums mobile app
hata kama angeuza kwa 10mil wanazengo wangelalamika.
 
Salaam,
Nyumba inauzwa, ipo Maeneo ya Sinza kituo cha kwa Remy.
Nyumba ipo umbali wa meter 180 kutoka barabara ya lami.
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala
Eneo la plot ni square meter 450
Ina hati miliki (tittle deed)
Price: 140m
N.b
Nyumba ni ya kizamani kama zilivyo nyumba nyingi Maeneo hayo.
Karibu kwa anayehitaji kuwekeza.
Call/SMS: 0756 832833

View attachment 1020143View attachment 1020142
IMG-20190211-WA0082.jpeg
View attachment 1020141
IMG-20190211-WA0084.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
chief weka bei rafiki,,huo mzigo mrefu sana kwa hiyo nyumba pia hata location,,,
 
,,kwa marehemu mpaka njia kuna moja ilitemwa kwa 120,,tena last year july,,,ila poa ngoja ni mtekenye doni mmoja wa hapa komakoma
 
Salaam,
Maelezo husika
NYUMBA inapatikana nkuhungu karibu na shule ya seminary.
kutoka katikati ya jiji (nyerere sqm) ni km 7.
Inatizamana na barabara ya lami
Ukubwa Wa eneo ni sqm 630
Nyumba ina vyumba vitatu (kikiwemo na master)
Jiko, store, sebule, sehemu ya kulia chakula na vyoo vya ndani.
KIWANJA kina hati miliki.
BEI: 45M
More info dial via: 0756 832833
View attachment 1030548
Screenshot_2019-02-20-20-46-35.jpeg
Screenshot_2019-02-20-20-46-19.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salaam,
Nyumba inapatikana maeneo ya Kitunda, shule.
Ina vyumba vinne, sebule, na sehemu ya kulia chakula.
Eneo ni sqm 625 (25*25)
Umbali kutoka banana ni km 3.4
Bei: 15m (neg)
Call: 0756 832833




IMG_20190224_150404.jpeg
IMG_20190224_150418.jpeg
IMG_20190224_150156.jpeg
IMG_20190224_145341.jpeg
IMG_20190224_145420.jpeg
IMG_20190224_145844.jpeg
IMG_20190224_145331.jpeg
IMG_20190224_150252.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu miundo mbinu vipi kama barabara yaani gari linafika mpk hapo?
(Saloon car)
Pia maji na umeme viko umbali gani?
Na vipi kuhusu nyaraka ni za namna gani?
Na umbali toka barabara ya kitunda ni upi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mda mwingine naamua kupuuzia kujibu baadhi ya comment za watu kwasababu unahisi kabisa mtu hayuko serious, kama mawasiliano yamewekwa unashindwa kuuliza upate jibu kwa wakati unaweka comment halafu unasubiri ijibiwe.
Vipi kama itachukua mwezi ndipo nikujibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
uzuri wa kujibu coment ya mtu ni kuwa utakuwa umejibu na wengine wenye swali kama hilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NYUMBA inapatikana UKONGA maeneo ya kitunda.
Kutoka banana ni km 5

Maelezo;
Nyumba ina vyumba vitatu, (1 self contained)
Jiko la kisasa, public toilet, na seating room kubwa.
Full tiles, gypsum na aluminium windows
Maji na umeme unajitegemea
More Info: 0756 832833


IMG_20190328_122055.jpeg
IMG_20190328_121859.jpeg
IMG_20190328_121916.jpeg
IMG_20190328_115613.jpeg
IMG_20190328_115537.jpeg
IMG_20190328_115427.jpeg
IMG_20190328_115236.jpeg
IMG_20190328_115410.jpeg
IMG_20190328_115421.jpeg
IMG_20190328_121354.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20190328_115303.jpeg
    IMG_20190328_115303.jpeg
    20.8 KB · Views: 26
Back
Top Bottom